Wema: Mimi na Diamond tumeshayamaliza na ameniajiri Wasafi TV

Wema: Mimi na Diamond tumeshayamaliza na ameniajiri Wasafi TV

Maajabu ya Watanzania!

Hii Wasafi tv si nimesikia ya Joseph Kusaga?! Au wengine si wanasema ya Makonda?!

Sasa kama kufilisika si atafilisika Kusaga au Makonda?!

Na ikiwa kufilisika atafilisika Kusaga au Makonda; kitakachowafanya WCB warudi kijijini kulima mihogo ni nini?! wataendelea na muziki; au?!

Halafu wapiga ramli zinazohusu kuporomoka kwa Diamond mnaibia watu! Yaani tangu muanze kubashiri kuporomoka kwake; miaka 5 imepita lakini jamaa yupo pale pale!

Aisee mna moyo....
Siyo yuko pale pale tu bali anazidi kutoboa
 
Naiona MIC ya Le akili Kubwaziiii,mobimba nye nye nye, kokubanga, Le baharia, Le wabebezi, super mtindiz hahah
 
Mtazamo wako tu mkuu
Si busara,si nidhamu kutafuna kitu chochote wakati unaongea na mtu yeyote achilia mbali vyombo vya habari zaidi ya vinne vinavyomhoji.Haipendezi yaani inshort ni tabia mbaya tena chafu sana.
 
kwani wema kasomea uandishi wa habari au anapewa kwa vile alikuwa ni kiburudisho cha almasi
 
Back
Top Bottom