Wema: Mungu ananitendea miujiza

Wema: Mungu ananitendea miujiza

BARD AI

JF-Expert Member
Joined
Jul 24, 2018
Posts
3,591
Reaction score
8,826
Msanii wa filamu nchini, Wema Sepetu, amesema anamshukuru Mungu kwa kumtendea muujiza, kwani mambo yake hivi sasa yanaenda vizuri.

“Nafurahi mno mwezi huu, kwa sababu baadhi ya vitu vyangu vinakwenda sawa kama ninavyotaka na nilivyopanga, kiufupi Mungu amenitendea miujiza.

“Jamani mniache tu, huu ni mwezi wangu jamani, Mungu amenitendea mambo mengi mwaka huu, ni mwaka wangu hivyo waniache tu, ” amesema Wema.
 
Back
Top Bottom