Wema na Batuli haziivi tena

Wema na Batuli haziivi tena

warumi

R I P
Joined
May 6, 2013
Posts
16,218
Reaction score
18,440
Mwisho wa reli? Urafiki wa mastaa wawili wa Bongo Movies, Wema Isaac Sepetu na Yobnesh Yusuf ?Batuli? unadaiwa kupoteza mwelekeo baada ya wawili hao kusemekana hawaivi tena kama ilkivyokuwa huko nyuma walipoanza Kampeni za Chama Cha Mapinduzi (CCM).

Habari kutokwa kwa mnyetishaji wetu wa kuaminika zilieleza kuwa, hali imekuwa tofauti na ilivyokuwa mwanzo kwani kila wakati walikuwa pamoja huku wakivaa sare lakini sasa hakuna tena kitu kama hicho.

Baada ya kutonywa ubuyu huo, gazeti hili lilimtafuta Wema ambapo alifunguka: ?Watu wanapenda kuniona nikiongozana na mtu wakati wote, jambo ambalo si rahisi. Mimi naona tupo sawa na hakuna kitu chochote kati yetu,? alisema Wema.
 
Attachments

  • 1445953032417.jpg
    1445953032417.jpg
    29.3 KB · Views: 442
Mafahari wawili hawawezi kuishi zizi moja
 
Wema ni m.ji.nga sana na ana uswahili mpaka kwenye kucha.Amepost mapicha yake ya kukurupuka instagram na baada ya kuoga matusi na lawama kazitoa.Mfano kapost picha ya halima mdee na kumnanga kwa kushindwa ubunge wakati hana uhakika.Sasa baada ya kusikia Mdee kashinda kaamua kuitoa.
 
Huyu mdada saanyengine nahisi kama anachanganyikiwa,anafanya madudu mpaka anapitiliza,nimeona zile picha anazoita watu wazima majina ya ajabu,nimemuona hana mana wala maadili mema,hata kama Siasa lakini its too much ameahidiwa nini mpaka akakosa adabu kiasi kile kama vile kwao hakuna wazee...
 
Malaya ni malaya tuu hata umuoshe kwa ndoo ya litre20 ya foma atabaki kuwa malaya tuuu.
 
Mwisho wa reli? Urafiki wa mastaa wawili wa Bongo Movies, Wema Isaac Sepetu na Yobnesh Yusuf ?Batuli? unadaiwa kupoteza mwelekeo baada ya wawili hao kusemekana hawaivi tena kama ilkivyokuwa huko nyuma walipoanza Kampeni za Chama Cha Mapinduzi (CCM).

Habari kutokwa kwa mnyetishaji wetu wa kuaminika zilieleza kuwa, hali imekuwa tofauti na ilivyokuwa mwanzo kwani kila wakati walikuwa pamoja huku wakivaa sare lakini sasa hakuna tena kitu kama hicho.

Baada ya kutonywa ubuyu huo, gazeti hili lilimtafuta Wema ambapo alifunguka: ?Watu wanapenda kuniona nikiongozana na mtu wakati wote, jambo ambalo si rahisi. Mimi naona tupo sawa na hakuna kitu chochote kati yetu,? alisema Wema.
Huyu changu hajawahi kunifurahisha ila leo kaniboa zaidi alipoziposti zile picha anatafuta bifu za kisengerema sana sijui ndo kaahidiwa kuwa watahalalishiwa kufanya ukahaba bila kubuguziwa au ndo shobo tu.
 
Mwisho wa reli? Urafiki wa mastaa wawili wa Bongo Movies, Wema Isaac Sepetu na Yobnesh Yusuf ?Batuli? unadaiwa kupoteza mwelekeo baada ya wawili hao kusemekana hawaivi tena kama ilkivyokuwa huko nyuma walipoanza Kampeni za Chama Cha Mapinduzi (CCM).

Habari kutokwa kwa mnyetishaji wetu wa kuaminika zilieleza kuwa, hali imekuwa tofauti na ilivyokuwa mwanzo kwani kila wakati walikuwa pamoja huku wakivaa sare lakini sasa hakuna tena kitu kama hicho.

Baada ya kutonywa ubuyu huo, gazeti hili lilimtafuta Wema ambapo alifunguka: ?Watu wanapenda kuniona nikiongozana na mtu wakati wote, jambo ambalo si rahisi. Mimi naona tupo sawa na hakuna kitu chochote kati yetu,? alisema Wema.

Kombo 😎
 
Back
Top Bottom