Wema na Diamond ndio habari ya mjini leo

Kwa hiyo mzigua unaamini kua Diamond anampenda Sana wema? Kabisa unaamini? Labda uniambie wema anampenda sana Diamond hapo utakua sahihi na naomba wanawake wote wenye tabia hizo tuelewe ule msemo wa wahenga "Mpende akupendae,asiye kupenda achana nae" hata kama inakuumiza kiasi gani we achana nae tu maana Bomu atakalokuja kukulipua nalo huko Mbele litazidi lile alilokuangushia awali.
Tulisikia sana kua walipendana
Tukasikia shida ikaja kua watoto na kwa mujibu wao walishahangaika sana hospitali
Diamond akazungukaa wee kwa Peni kwa nani mwisho wa siku akaangukia kwa Zari,
Haya mama Pinto wa watu akamzalie bwana kaka
Lakini nini kimemtokea Leo ???
Wanaume hasa wa miaka hii, si watu wa kuwapenda Sana !! Nawaza hapa kama mie ndio ningekua mama Tiffa ningekua kwenye situation gani muda huu, mwanaume anamzidi Jay Z kwa story za mtandaoni
 
Wanaume wanapenda wanawake weupe. Mweusi yupo yule dada aliekua anatangaza na kina Salma na Penny kwenye harusi yetu. Sema nae sio black kabisa.
Hawa wanaume ndo wanaoponza wanawake tujikuuuubue mpaka mishipa ya damu ionekane
 
Mi naamini wanapendana eti ila watu wa karibu ndo sababu ya wao kutodumu.
 
Hamna mwanaume anaeweza kukataa K akipewa tena K kama ya wema ndo kabsaa. Ni kweli haimzuii domo kulala na Wema ila kuonyesha hadharani ni jambo lingine.
Hiyo clip sioni kuna ubaya wowote ndugu yangu. Hivi akiwa X wako huwezi kumsalamia! Ni uhasama? Kwani wamekiss kwa kula denda? Naona walikumbatiana tu after all hawa wapo katika industry moja pengine walikuwa wanazungumzia dili zao. Ila kama K kaileta katika sahani, kwa nini asiirudi kiroho mbaya!
 
Unaambiwa dai akikukamata na ule mdomo wake akikunyonya K lazima uchanganyikiwe,anadeki bahari jamaa acha tu akipitisha ulimi kwenye mstari wa makalio usipojamba we mwanamke
Napenda mwanaume anaenyonya jamani
Ahaaaaaa haaaaaaa....li mama Sabrina lichizi hakyanani[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…