Curious gal
JF-Expert Member
- Dec 1, 2014
- 3,200
- 4,008
Na kweli acha tuone mwisho wakeInawezekana ikawa kik. Uzazi wa Wema ni wa shida sana.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Na kweli acha tuone mwisho wakeInawezekana ikawa kik. Uzazi wa Wema ni wa shida sana.
Kwa hiyo mzigua unaamini kua Diamond anampenda Sana wema? Kabisa unaamini? Labda uniambie wema anampenda sana Diamond hapo utakua sahihi na naomba wanawake wote wenye tabia hizo tuelewe ule msemo wa wahenga "Mpende akupendae,asiye kupenda achana nae" hata kama inakuumiza kiasi gani we achana nae tu maana Bomu atakalokuja kukulipua nalo huko Mbele litazidi lile alilokuangushia awali.Upumbavu unakuja pale ambapo mimi sina mtu na nampenda na yeye ananipendaa kwa wakati huo anarudi kwanini nisiendelee nae nikiwa nasubiri wangu. Kumuacha mtu unaempenda si jambo la kutumia nguvu. Mapenzi huwa yanaisha yenyewe tu. Sasa kabla hayajaisha usitumie nguvu na kujiumiza kuyamaliza.
Huu uzungu unatuharibia bibi zetu[emoji23]Uzungu bibi tumekuwa wazungu kuliko wazungu wenyewe.
Haha kutuwakilisha weusiHaahha azae ki black byuti
Hawa wanaume ndo wanaoponza wanawake tujikuuuubue mpaka mishipa ya damu ionekaneWanaume wanapenda wanawake weupe. Mweusi yupo yule dada aliekua anatangaza na kina Salma na Penny kwenye harusi yetu. Sema nae sio black kabisa.
[emoji23][emoji23]na bibi tukinao anachekelea tuu dah!aisewMbona wanaonaga mama anashikwa shikwa na mabusu. Diamond kajua kumdhalilisha Zari.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ahahahahah atakuwa hapendi anapenda rangi za mtume
Kweli yaani. Alomloga kafa. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji119]Mapenzi mama
Ile ambayo kifuani kavaa kanga, kama anapiga goti vile?Kuna picha ntakurushia 2000 zari alikua na miaka 31 nadhan alikua anasherehekea siku yaie ya kuzaliwa
Mi naamini wanapendana eti ila watu wa karibu ndo sababu ya wao kutodumu.Kwa hiyo mzigua unaamini kua Diamond anampenda Sana wema? Kabisa unaamini? Labda uniambie wema anampenda sana Diamond hapo utakua sahihi na naomba wanawake wote wenye tabia hizo tuelewe ule msemo wa wahenga "Mpende akupendae,asiye kupenda achana nae" hata kama inakuumiza kiasi gani we achana nae tu maana Bomu atakalokuja kukulipua nalo huko Mbele litazidi lile alilokuangushia awali.
Tulisikia sana kua walipendana
Tukasikia shida ikaja kua watoto na kwa mujibu wao walishahangaika sana hospitali
Diamond akazungukaa wee kwa Peni kwa nani mwisho wa siku akaangukia kwa Zari,
Haya mama Pinto wa watu akamzalie bwana kaka
Lakini nini kimemtokea Leo ???
Wanaume hasa wa miaka hii, si watu wa kuwapenda Sana !! Nawaza hapa kama mie ndio ningekua mama Tiffa ningekua kwenye situation gani muda huu, mwanaume anamzidi Jay Z kwa story za mtandaoni
Hamisa ananyonyesha banaHivi hujagundua km hawanyonyeshi watoto,, IPO siku hamisa zikimjia atasema km wameshaambukizana
Hiyo clip sioni kuna ubaya wowote ndugu yangu. Hivi akiwa X wako huwezi kumsalamia! Ni uhasama? Kwani wamekiss kwa kula denda? Naona walikumbatiana tu after all hawa wapo katika industry moja pengine walikuwa wanazungumzia dili zao. Ila kama K kaileta katika sahani, kwa nini asiirudi kiroho mbaya!Hamna mwanaume anaeweza kukataa K akipewa tena K kama ya wema ndo kabsaa. Ni kweli haimzuii domo kulala na Wema ila kuonyesha hadharani ni jambo lingine.
Shoga unamjua 'the originalist IG?Tuweke mafanikio yao kwanza. Embu tuanze kufanya comparison ya mafanikio kabla ya kusifia
Ahaaaaaa haaaaaaa....li mama Sabrina lichizi hakyanani[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Unaambiwa dai akikukamata na ule mdomo wake akikunyonya K lazima uchanganyikiwe,anadeki bahari jamaa acha tu akipitisha ulimi kwenye mstari wa makalio usipojamba we mwanamke
Napenda mwanaume anaenyonya jamani
Angalia usije kusikia gaude ni mtoto wa jirani wewe ni baba mlezi