Wema na Diamond ndio habari ya mjini leo

Ingekua alimkuta hamisa kwa dai hapo sawa ila hamisa ndo kamkuta so zari hashindan na mtu bali wao wanaojilengesha kwa dai ndo wanashindana nae ila ndo hivyo tena hawamuwez hata wakijipanga mia wataishia kugawa papa na kutemwa.
sawa dadaa lakini tiba yakujiepusha na kero dharau ..zilizoambatana na maudhi yanayo sababishwa na mwenza wako nikuamuacha aende nawewe kubaki na maisha yako yatakayo kurejeshea utu na heshima ambayo unastahiki ..kitendo cha kuendelea kumpa nafasi yakukuburuza niwazi itkuwa unapenda kuendelea kuishi kwenye nyika yenye maumivu
 
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] Pambafu
ila wema juzijuzi nasikia alibreak internet na gauni moja la designer wake matata, inaelekea mondi moyo ukashtuka akaona asiache zigo arudi tena..
 
ila wema juzijuzi nasikia alibreak internet na gauni moja la designer wake matata, inaelekea mondi moyo ukashtuka akaona asiache zigo arudi tena..
diamond huu mzigo kauelewa sana kama mnvyomwita eti Dada wa Taifa!!!!!!
mondi naye kaka wa ......
 
Hahahaaa kwa style hio utaacha wangapi?unadhan walio kwenye ndoa au mahusiano ya muda mrefu hawacheat?na je kucheat kwenyewe ni kwa picha kama hizi basi jaman wenye ndoa zao zenye watoto wa nje wangekua kama wewe kimsimamo leo hii dunia ingejaza watoto wa mitaan tele,single parents weeengii
 
sasa kule niku cheat au kukomolewa duuhh
shikamoo numbisa maana naona watetea mpka ujinga .kisa tu una mahaba na zari
tufanye hii picha sio kucheat ..vipi kuhusu hamisa na huyo cjui tunda sijui nani ..!? wew huoni kama nikudhalilishwa kule ...

daaahh wanawake shikamoni
 
Mkuu napambana na hali yangu nilipo huku nikifurahia strong woman akipambana na mahusiano yake.

Huwez mpangia mtu aina ya mahusiano uyatakayo,mfano wema alisikiliza maneno ya watu na team yake akamtema dai na kashfa juu saiv kiko wapi!!? Si huyo anajilengesha hapo

Tunda na hamisa wamejengewa nyumba,wametambulishwa hadharan kuwa wapo kwenye mahusiano rasmi?kila jamii ina mwizi ujue so tunda,hamisa na wenzao wanaojilengesha kwa dai ni wezi tu na haikwepeki.

Si tetei ujinga wala sina mamlaka ya kumshika noniino zari au dai kusema nizifungie wasizigawe gawe hovyo. Yale ni maisha yao waliyoamua wenyewe.

Marahabaa hearl hahahaaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…