Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 301,221
- 1,172,274
Hahahaa ana kila kitu anachotakiwa mwanamke. Msabwax wa wastan,guu la bia etc
Ana sura nzuri tu vingine tumuachie Mungu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ana sura nzuri tu vingine tumuachie Mungu
Lile guu la ugonjwa weweHahahaa ana kila kitu anachotakiwa mwanamke. Msabwax wa wastan,guu la bia etc
You wish....Hahahahaa hizi ni kauli za wachoropoa mimba.
Mbona hazai watoto wazuri
Lile guu la ugonjwa wewe
You wish....
Mama la mamaFirst Lady wa WCB
We utanichosha tu ngoja nikapige ubuyu mie,bye bibi tukionaoExactly slay mom mmoja huku choon ushatupa wa kutosha kisa hawana sura nzuri mweeee
sawa dadaa lakini tiba yakujiepusha na kero dharau ..zilizoambatana na maudhi yanayo sababishwa na mwenza wako nikuamuacha aende nawewe kubaki na maisha yako yatakayo kurejeshea utu na heshima ambayo unastahiki ..kitendo cha kuendelea kumpa nafasi yakukuburuza niwazi itkuwa unapenda kuendelea kuishi kwenye nyika yenye maumivuIngekua alimkuta hamisa kwa dai hapo sawa ila hamisa ndo kamkuta so zari hashindan na mtu bali wao wanaojilengesha kwa dai ndo wanashindana nae ila ndo hivyo tena hawamuwez hata wakijipanga mia wataishia kugawa papa na kutemwa.
ila wema juzijuzi nasikia alibreak internet na gauni moja la designer wake matata, inaelekea mondi moyo ukashtuka akaona asiache zigo arudi tena..[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] Pambafu
ila wema juzijuzi nasikia alibreak internet na gauni moja la designer wake matata, inaelekea mondi moyo ukashtuka akaona asiache zigo arudi tena..
Kasi ipi ya kupiga picha?Wale wapenda ubuyu wenzangu tembeleeni kwa dada wa taifa kuna video mubashara kabisa ya Tz Sweetheart na kaka Abdul Naseeb. Mapenzi yamerudi kwa kasi ya ajabu sa
sawa dadaa lakini tiba yakujiepusha na kero dharau ..zilizoambatana na maudhi yanayo sababishwa na mwenza wako nikuamuacha aende nawewe kubaki na maisha yako yatakayo kurejeshea utu na heshima ambayo unastahiki ..kitendo cha kuendelea kumpa nafasi yakukuburuza niwazi itkuwa unapenda kuendelea kuishi kwenye nyika yenye maumivu
Dada wa taifa ni Mangediamond huu mzigo kauelewa sana kama mnvyomwita eti Dada wa Taifa!!!!!!
mondi naye kaka wa ......
We utanichosha tu ngoja nikapige ubuyu mie,bye bibi tukionao
Labda vipo kweli ila kwenye picha zake za insta hivyo vitu havionekani.
sasa kule niku cheat au kukomolewa duuhhHahahaaa kwa style hio utaacha wangapi?unadhan walio kwenye ndoa au mahusiano ya muda mrefu hawacheat?na je kucheat kwenyewe ni kwa picha kama hizi basi jaman wenye ndoa zao zenye watoto wa nje wangekua kama wewe kimsimamo leo hii dunia ingejaza watoto wa mitaan tele,single parents weeengii
sasa kule niku cheat au kukomolewa duuhh
shikamoo numbisa maana naona watetea mpka ujinga .kisa tu una mahaba na zari
tufanye hii picha sio kucheat ..vipi kuhusu hamisa na huyo cjui tunda sijui nani ..!? wew huoni kama nikudhalilishwa kule ...
daaahh wanawake shikamoni
Hapana mi mshikaji tuNimewaza na baby N alikivuta [emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]