Wema na Diamond ndio habari ya mjini leo

Mapenzi hayajifichi atii. Tena mkiwa in love mnajiona kama mpo wenyewe hakuna anayewaangalia.
 
Hii couple team wema wanatamani irudi, hata Wema Sidhani kama ana ujasiri wa kumuacha diamond Sema bibi YETU tukinao anabana Sana. Diamond anafanya kazi ya kucheza team rafiki wakati kibibi cha kiganda shoga Angu zarina kabada Sekta zote.
 
wema amenenepa uwii
 
Ni mawili, hii ni point kubwa sana tangu niamke au ni kwakua sijanywa chai.
 
Hawa watu wanapendana sana. Waliachana ila kila mmoja wapo alikuwa ana mmiss mwenzake. Wacha Movie iendelee.
Alisema kwenye take that ya Zamaradi kuwa kama ni kuzaa atazaa na Nasibu.

Maneno huumba.
 
Inawezekana ni tukio la kupangwa, ila nadhani demu ni madhaifu sana kiasi kwamba jamaa angefungua zipu pale, demu alikuwa tayari kupiga BJ, bila kujua yupo hadharani.
 
Timu zari watawehuka nakuambia,ila zari ana moyo mpana kama pazia,avumilie tu miaka 50 ataenda wapi atabanana hapo hapo
wema na zarina ni vitu viwili tofauti............. huyu mmoja ni mama wa mwenye watoto na familia huyu mwingine ni mama mdangaji ambsye mpaka uzee wake huu hajaanza familia maisha yake makuu ni ig zari hajapungukiwa na nitu huyu bibi wa kinyaturu ako na safari ndeefu ataishia kuliwa kalio la kichainis bhaaaaaaaaaas

beauty with no brains @all


my super mama wa5............. namupendaga sanaaaaaaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…