Wema na Diamond ndio habari ya mjini leo

Wema na Diamond ndio habari ya mjini leo

Diamond hawezi kufanya jambo bila kusindikiza na kiki...ilikuwa lazima lifanyikeke jambo ili lengo lake litimie...

Sitashangaa kusikia Wema alilipwa kutengeneza hiyo kiki.

Diamond sio mjinga kiasi hicho kufanya tukio kama lile tena hadharani huku camera zikimchukua.

Sina shaka kuwa lile ni tukio la kupangwa.....
Mapenzi hayajifichi atii. Tena mkiwa in love mnajiona kama mpo wenyewe hakuna anayewaangalia.
 
Hii couple team wema wanatamani irudi, hata Wema Sidhani kama ana ujasiri wa kumuacha diamond Sema bibi YETU tukinao anabana Sana. Diamond anafanya kazi ya kucheza team rafiki wakati kibibi cha kiganda shoga Angu zarina kabada Sekta zote.
 
Wale wapenda ubuyu wenzangu tembeleeni kwa dada wa taifa kuna video mubashara kabisa ya Tz Sweetheart na kaka Abdul Naseeb. Mapenzi yamerudi kwa kasi ya ajabu sana.

Zarina ni muda sasa aamue kuondoka akaelee au aendelee kubanana na Wema na kwa hali ilipofikia Diamond hawezi kumuacha tena Wema hata awe aoe Wema ataendelea kuwepo.


wema amenenepa uwii
 
Upumbavu unakuja pale ambapo mimi sina mtu na nampenda na yeye ananipendaa kwa wakati huo anarudi kwanini nisiendelee nae nikiwa nasubiri wangu. Kumuacha mtu unaempenda si jambo la kutumia nguvu. Mapenzi huwa yanaisha yenyewe tu. Sasa kabla hayajaisha usitumie nguvu na kujiumiza kuyamaliza.
Ni mawili, hii ni point kubwa sana tangu niamke au ni kwakua sijanywa chai.
 
Hawa watu wanapendana sana. Waliachana ila kila mmoja wapo alikuwa ana mmiss mwenzake. Wacha Movie iendelee.
Alisema kwenye take that ya Zamaradi kuwa kama ni kuzaa atazaa na Nasibu.

Maneno huumba.
 
Diamond hawezi kufanya jambo bila kusindikiza na kiki...ilikuwa lazima lifanyikeke jambo ili lengo lake litimie...

Sitashangaa kusikia Wema alilipwa kutengeneza hiyo kiki.

Diamond sio mjinga kiasi hicho kufanya tukio kama lile tena hadharani huku camera zikimchukua.

Sina shaka kuwa lile ni tukio la kupangwa.....
Inawezekana ni tukio la kupangwa, ila nadhani demu ni madhaifu sana kiasi kwamba jamaa angefungua zipu pale, demu alikuwa tayari kupiga BJ, bila kujua yupo hadharani.
 
Timu zari watawehuka nakuambia,ila zari ana moyo mpana kama pazia,avumilie tu miaka 50 ataenda wapi atabanana hapo hapo
wema na zarina ni vitu viwili tofauti............. huyu mmoja ni mama wa mwenye watoto na familia huyu mwingine ni mama mdangaji ambsye mpaka uzee wake huu hajaanza familia maisha yake makuu ni ig zari hajapungukiwa na nitu huyu bibi wa kinyaturu ako na safari ndeefu ataishia kuliwa kalio la kichainis bhaaaaaaaaaas

beauty with no brains @all


images
my super mama wa5............. namupendaga sanaaaaaaa
 
Back
Top Bottom