[emoji106]Fundisho ni:-Wanaume tuoe mabikra tu.
Kwa sasa habari ya mjini ni mimi na Mama Gaude, hao wengine zilipendwa tu.
JF rahaAngalia usije kusikia gaude ni mtoto wa jirani wewe ni baba mlezi
Tako analo zuri sema hana hips ndo maana anaonekana ana mabonde. Umbo lake wengi tu mnalitamani ila ndo vileeeehahaha haaaaaaaaa ale matako sasa!!!!!!!
woyy mi bora matako nisiwe nayo lakini nakalia Posche ntaonekana nina kishundu hata kama sina
MI SIWEZI KUMSIFIA WEMA HATA UNIKATE MGUU kwangu nikiwa na mtoto kama huyu ni kilio kila uchao hapana kwakweliTuweke mafanikio yao kwanza. Embu tuanze kufanya comparison ya mafanikio kabla ya kusifia
Ivan hakujua kuongea English fluent kama Dai pia sukari ya warembo ana body ya gym mamaIvan alikua anamuheshimu sana. Hakua anafanya maujinga hadharani kama huyu kijana wake
Hahahahaaa.. huyu bwana ndo mbabe wa wababe. Hadi baba na ubabe wake wote kashindwa kuchomoa hapo. Mamaa wa gemstone ndo strong woman Tanzania.Habari ya mujini ni Pogba a.k.a King Kong na Cheupe dawa a.k.a mama wa ma gemstones!hawa wengine ni vitoto tu!
Ahahahah na lipistic zake nyekundu kila siku hamuoni wolpa jamani anavyopendeza makeupMwenzenu muhindi. [emoji2][emoji2][emoji2]
Ivi jamaa ana hela sana eeeeh....Diamond hawezi kufanya jambo bila kusindikiza na kiki...ilikuwa lazima lifanyikeke jambo ili lengo lake litimie...
Sitashangaa kusikia Wema alilipwa kutengeneza hiyo kiki.
Diamond sio mjinga kiasi hicho kufanya tukio kama lile tena hadharani huku camera zikimchukua.
Sina shaka kuwa lile ni tukio la kupangwa.....
Unafikiri watasema sababu gani,, zari ye anasemaga wamekataa Kunyonya,hahaWanaogopa kuharibu maziwa yao.
Kawaida sana, si ajabu hata unayemwita wewe baba si baba yako ni mlezi tu, usiogopeAngalia usije kusikia gaude ni mtoto wa jirani wewe ni baba mlezi