Wema na Diamond ndio habari ya mjini leo

Wema na Diamond ndio habari ya mjini leo

yeahh sasa jeee safi sana kudanga kwa faida sasa huyu kishkwambi wenu niaje anatupia kwa toilate ama ni aje?
Tuweke mafanikio yao kwanza. Embu tuanze kufanya comparison ya mafanikio kabla ya kusifia
 
Tumekubaliana point ya kwanza.
Wote wadangaji,huyu kapewa akili kanyimwa matako,huyu kapewa matako kanyimwa akili!
[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]
 
Ninadhani muda hii ana mkumbuka sana marehemu Ivan.
Ukitoka na ki-Ben 10 uwe tayari na haya akiona agemates anakusahau kwa muda
Ivan alikua anamuheshimu sana. Hakua anafanya maujinga hadharani kama huyu kijana wake
 
Diamond hawezi kufanya jambo bila kusindikiza na kiki...ilikuwa lazima lifanyikeke jambo ili lengo lake litimie...

Sitashangaa kusikia Wema alilipwa kutengeneza hiyo kiki.

Diamond sio mjinga kiasi hicho kufanya tukio kama lile tena hadharani huku camera zikimchukua.

Sina shaka kuwa lile ni tukio la kupangwa.....
Ivi jamaa ana hela sana eeeeh....
 
Back
Top Bottom