Wema na Diamond ndio habari ya mjini leo

Ninadhani mida hii ana mkumbuka sana marehemu Ivan.
Ukitoka na ki-Ben 10 uwe tayari na haya akiona agemates anakusahau kwa muda
Viben 10 havinaga huruma na mabibi bomba wao akishakutana na agemates wake[emoji23][emoji23]hamhurumii bibi bomba,ila Tukinao anajua kujikaza walahi
Hamisa
Tunda
Wema
Bado anajikaza kiume Tukinao wa watu
 
Hajawah kupendeza Esma na hayo ma makeup yake akiweka na lenz sasa kama jini mkata kamba
Zile lenz ni safari ya kuelekea uhindini. Ipo siku na yeye atasema bi Sandra ana asili ya uhindi tutaamini kama bi tukinao anavyosemaga
 
Watoto au kipi? Watoto tunajua ni zao la papuchi, what else?
usipotezee kwani huoni alichonacho shule magari majumba weupe watoto mashabiki wa ig na kila kitu...............na mapesa pia anayo..............
 
Viben 10 havinaga huruma na mabibi bomba wao akishakutana na agemates wake[emoji23][emoji23]hamhurumii bibi bomba,ila Tukinao anajua kujikaza walahi
Hamisa
Tunda
Wema
Bado anajikaza kiume Tukinao wa watu
Halafu tunamuita strong woman eti kiaa anachitiwa halafu hamuachi bwana.
 
Najaribu kutafakari kutoka angle ingine kabisa. Mwanadada, toka amejifanya anajua kuwachezea mashabiki wake kisiasa, dizaini kama kabuma vile, hasikiki kama hapo awali.
Nadhani anatafuta kuzungumzwa tena coz hiyo video hawakuwa sehemu ya siri kwamba mtu kawanyapianyapia.
Wabongo wamemtapika, analazimisha kurudishwa kinywani.
 
Tuulize wambeya tukupe ubuyu wewe madale guest house
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…