Jolie Jolie
JF-Expert Member
- Dec 28, 2017
- 7,406
- 13,806
Viben 10 havinaga huruma na mabibi bomba wao akishakutana na agemates wake[emoji23][emoji23]hamhurumii bibi bomba,ila Tukinao anajua kujikaza walahiNinadhani mida hii ana mkumbuka sana marehemu Ivan.
Ukitoka na ki-Ben 10 uwe tayari na haya akiona agemates anakusahau kwa muda
Hamisa
Tunda
Wema
Bado anajikaza kiume Tukinao wa watu