Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122]Fundisho ni:-Wanaume tuoe mabikra tu.
heheh mi sitamani lolote zaid ya hiyo akili yake nampenda xana sana sanaaa eeeeh mama wa5Tako analo zuri sema hana hips ndo maana anaonekana ana mabonde. Umbo lake wengi tu mnalitamani ila ndo vileeee
We unamuamini Mange?Wema ana mimba ya Diamond, bi Tukinao ameshasema yeye kuzaa basi.
Hamisa na Wema haziivi kabisa sasa hivi.
My take wote wawe na afya njema lakini katika hii chain kama kuna mwenye HIV, mbona mjini patakuwa padogo.
DuuuSijaelewa mkuu
Mwanaume kama daimond ukiwa nae kuwa na moyo mpana sana ukimuweza daimond hakuna atakaekuumiza maishaniIla naona Wema alilipwa kufanya special apperance.
AhhahaahahIvi jamaa ana hela sana eeeeh....
Rais wako mwenyewe anacheza mziki wa Mange, baada ya kuambiwa haendi kwenye misiba jana amekwenda msiba wa jajiWe unamuamini Mange?
Huyo nae atupishe na bitukinao wake,Kama huwez baasi na sisi hatuwez msifia bi tukinao. Tugawane vya kufanya sawa?
Labda ndio watoto sana ndio shida ya kuzaa matoto mengii,Hivi kwanini insta ya bi Tukinao anawapost Tiffa na Nilan tu?
Ulimbukeni.Hivi kwanini insta ya bi Tukinao anawapost Tiffa na Nilan tu?
sisi ? we na nani .................Kama huwez baasi na sisi hatuwez msifia bi tukinao. Tugawane vya kufanya sawa?
Yaan kakaza lipstic rangi moja tu,apakage hata nyeusi na hivi mzungu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]. Wolper mzuri sana kwa Zari. Usifananishe Vitz na Xtrail.