Wema na Diamond ndio habari ya mjini leo

Wema na Diamond ndio habari ya mjini leo

Wale wapenda ubuyu wenzangu tembeleeni kwa dada wa taifa kuna video mubashara kabisa ya Tz Sweetheart na kaka Abdul Naseeb. Mapenzi yamerudi kwa kasi ya ajabu sana.

Zarina ni muda sasa aamue kuondoka akaelee au aendelee kubanana na Wema na kwa hali ilipofikia Diamond hawezi kumuacha tena Wema hata awe aoe Wema ataendelea kuwepo.


Mondi knows how to play with people's minds....
 
Ukimsogelea Diamond tu,Unapata Mimba.
Naomba tukubaliane, kila mwanaume ni mlaji na gavana huwa ni nyie akinamama. Usione humu watu wanajibaraguza tu ukimletea K katika sahani siamini kuna mwanaume yeyote wa JF including me ataiacha au nadanganya Mzigua90 wangu! Hivyo sioni ajabu kwa Diamond wanawake wanaompelekea katika sahani aziache ati kwa vile Zari yupo Sauz. Usisahau wakati ule Dai alikuwa na usongo na maK ya wengi na hapa anajivinjari tu
 
Najaribu kutafakari kutoka angle ingine kabisa. Mwanadada, toka amejifanya anajua kuwachezea mashabiki wake kisiasa, dizaini kama kabuma vile, hasikiki kama hapo awali.
Nadhani anatafuta kuzungumzwa tena coz hiyo video hawakuwa sehemu ya siri kwamba mtu kawanyapianyapia.
Wabongo wamemtapika, analazimisha kurudishwa kinywani.
Labdaa
 
Diamond kama atakuja kujutia in kitendo chake cha kurudiana Na wema sepeto nahisi itakua sio kweli japo ile ilikua in pati tu
 
Back
Top Bottom