Wema na Diamond ndio habari ya mjini leo

Wema na Diamond ndio habari ya mjini leo

Hiyo clip sioni kuna ubaya wowote ndugu yangu. Hivi akiwa X wako huwezi kumsalamia! Ni uhasama? Kwani wamekiss kwa kula denda? Naona walikumbatiana tu after all hawa wapo katika industry moja pengine walikuwa wanazungumzia dili zao. Ila kama K kaileta katika sahani, kwa nini asiirudi kiroho mbaya!
Habari ni kwamba ile k anaila muda mrefu tuu.
 
Halafu kikongwe wanayemsema yupo vizuri
Kila idara,kwa style hii lazima awe na haters wengi
26382178_1768535996554050_5064525637583110144_n.jpg
26864156_1829768760653609_6188593367211835392_n(1).jpg

KIKI tu...
Kuanzia uzuri, tabia, umalaya, kuzaa mpaka kujitegemea, heri ya kikongwe kuliko Wema..
 
Diamond hawezi kufanya jambo bila kusindikiza na kiki...ilikuwa lazima lifanyikeke jambo ili lengo lake litimie...

Sitashangaa kusikia Wema alilipwa kutengeneza hiyo kiki.

Diamond sio mjinga kiasi hicho kufanya tukio kama lile tena hadharani huku camera zikimchukua.

Sina shaka kuwa lile ni tukio la kupangwa.....
hiyo issue yakupnga matukio na huyo mdada mbona ndio zake ..inshort wema ndiye aliyemuingiza ktk huo ujinga..tangu enzi zakuvishana Pete Maisha club na kukataa kupokea Pesa ml.city..nikipofu waakili tu ndiye ambaye hawezi kung'amua jnja Janja za hao jamaa
 
Back
Top Bottom