Wema na Diamond ndio habari ya mjini leo

Wema na Diamond ndio habari ya mjini leo

Diamond hawezi kufanya jambo bila kusindikiza na kiki...ilikuwa lazima lifanyikeke jambo ili lengo lake litimie...

Sitashangaa kusikia Wema alilipwa kutengeneza hiyo kiki.

Diamond sio mjinga kiasi hicho kufanya tukio kama lile tena hadharani huku camera zikimchukua.

Sina shaka kuwa lile ni tukio la kupangwa.....
Hilo vazi la Dai leo, changanya na viatu alivyovaa mmmh naona kama vile Wadrobe imepata MalFunction ya dress code za mwelekeo wa jinsi.!!! Mtazamo wangu tuu bandugu.
 
Hii thread inaonyesha jinsi gani watanzania wengini ni majobless, yaani jumatu yote asubuhi hii, angalia majadiliano yalipofikia.
 
Hiyo yote ni kick ya kutaka kumfunika Ally Kiba baada ya kumtembelea mama magufuli
 
Wale wapenda ubuyu wenzangu tembeleeni kwa dada wa taifa kuna video mubashara kabisa ya Tz Sweetheart na kaka Abdul Naseeb. Mapenzi yamerudi kwa kasi ya ajabu sana.

Zarina ni muda sasa aamue kuondoka akaelee au aendelee kubanana na Wema na kwa hali ilipofikia Diamond hawezi kumuacha tena Wema hata awe aoe Wema ataendelea kuwepo.

Peleka insta hii dada
 
Halafu kikongwe wanayemsema yupo vizuri
Kila idara,kwa style hii lazima awe na haters wengi
View attachment 686724 View attachment 686725
huyu mwanamke ni paper chaser kwahilo nampa sifa ..sema alichoharibu niku adopte uswahili wawa bongo ..kutka kushindana na watoto waumbwa kina mobeto waliolelewa tandale ..wenye kila aina ya uswahili ...hapo ndipo panapo mvua heshima na utu wake ..nakama ujuavyo tena mcheka na mbwa huwa anaingia nae mpka msitini
 
Mi naamini wanapendana eti ila watu wa karibu ndo sababu ya wao kutodumu.
Mmh! Haya ngoja na mie nishike langu maana nisishadadie ya wenzangu wakati langu lavuja! Mwisho nitajasingizia watu wa karibu bure
 
Mmh! Haya ngoja na mie nishike langu maana nisishadadie ya wenzangu wakati langu lavuja! Mwisho nitajasingizia watu wa karibu bure
[emoji2][emoji2][emoji2]
 
Ingekua alimkuta hamisa kwa dai hapo sawa ila hamisa ndo kamkuta so zari hashindan na mtu bali wao wanaojilengesha kwa dai ndo wanashindana nae ila ndo hivyo tena hawamuwez hata wakijipanga mia wataishia kugawa papa na kutemwa.

Back
Top Bottom