Wema na Diamond part 2

Wema na Diamond part 2

warumi

R I P
Joined
May 6, 2013
Posts
16,218
Reaction score
18,440
Movie inaendelea.

attachment.php

attachment.php
 
Attachments

  • 1394868985135.jpg
    1394868985135.jpg
    67.3 KB · Views: 2,916
  • 1394869024999.jpg
    1394869024999.jpg
    42.7 KB · Views: 1,372
Hapa atakua alikuja kusoma Jamii hahahhha kweli mapenzi upofu hata mie wangu asemweje simuachiiii raha naijua miee
Ila Wema umekua kabayaa sorry!!!!
 
kwani nani ana mda wa kumfatilia ana nini cha mana na tofauti na watu wengne ana jishtukia tu huyo
 
kwani nani ana mda wa kumfatilia ana nini cha mana na tofauti na watu wengne ana jishtukia tu huyo

Shangaa hana jipya zaman nilijua ana akili kumbe matope tu kila kitu kanyang'anywaa kabakiza kumlilia domo utafikiri alimzaaa
 
sijui kwa nini
ila nahisi diamond atamuacha tena wema...
 
Shangaa hana jipya zaman nilijua ana akili kumbe matope tu kila kitu kanyang'anywaa kabakiza kumlilia domo utafikiri alimzaaa

sa ivi kafulia kuuza papuchi kunazesha jamani na hiyo mikorogo ya kichina atajuta kukimbia shule mwanaume ana kuhonga hakupit hati mara hichi na yeye anakubali uzee una muita huyo
 
Hata akiolewa na domo,ajiandae kupigana kila mara
 
Movie inaendelea.

Ha ha ha ha haaaaaaaaa, umewapa ukweli mtupu, tunakumbuka hata C.l.e.m.e.n.t alikua wako!!Neno I love u and he/she is mine ni magumu kuyamaanisha, ila hii series ni nzuri zaidi ya LOST, Prison Break, 24 etc TUPO SEASON 2 now
 
Si nilisikia diamond kwenye wimbo wake mmoja anasema "wacha muvi iendelee??!"
 
Hapa atakua alikuja kusoma Jamii hahahhha kweli mapenzi upofu hata mie wangu asemweje simuachiiii raha naijua miee
Ila Wema umekua kabayaa sorry!!!!

Tangu amejichubua ana ngozi kama ya chura hivi
 
Ila diamond asimchukulie poa sana...huwa wanabadilika hawa viumbe na maamuzi yao huwa wanayajua wenyewe...asijejikuta anaamka siku moja akakuta......
 
Mapenzi ya dhati hayatangazwi kwenye social media. Nilidhani wametulia mambo yao wenywe kinyumbani, kumbe nyani ni wale wale. Na huyo Rommy Jones, anatafuta ustaa kwa lazima. TLC Scrub, sitting at the passenger's side of his best friends ride....
 
huyo Rommy Jones ni nani kwani??
 
Mapenzi ya dhati hayatangazwi kwenye social media. Nilidhani wametulia mambo yao wenywe kinyumbani, kumbe nyani ni wale wale. Na huyo Rommy Jones, anatafuta ustaa kwa lazima. TLC Scrub, sitting at the passenger's side of his best friends ride....

Wanashangaza sana, sijui wanamtangazia nani upuuz, huyo wema nae akili ana, badal atafut n heshima zake aolewe anahangaika na chibu, jamaa anamsalit wazi wazi dah
 
Waacheni walaleeeee kulikuwa na couple za ukweli za kina Romeo n' Juliet,Jada n' will,George n' weezie,Bonnie n' clyde sasa zimebaki story so its their turn to shine playbway nawao watapita waacheni watanue ni mdao wao wapi Sinta na Nature?
 
Back
Top Bottom