Wema na Diamond part 2

Wema na Diamond part 2

Mapenzi ya dhati hayatangazwi kwenye social media. Nilidhani wametulia mambo yao wenywe kinyumbani, kumbe nyani ni wale wale. Na huyo Rommy Jones, anatafuta ustaa kwa lazima. TLC Scrub, sitting at the passenger's side of his best friends ride....

Almas mda wote yupo na Rommy Jones na Bouncer wao.
 
Rafikiye wa diamond tangu utotoni. Sasa amekuwa bodyguard wa Wema kulinda bidha za diamond zisipekuliwe pekuliwe na kupanguliwa na wengine.

Huyo Romy kaz anayo mwaka huu...
 
Hata jay z na beyonce ni masupestar wana ndoa na mtoto mmoja na wote wapo kwenye peak ila mapenzi yao hawayatangazi hivi.dah kweli bongo tuna shida.
 
Back
Top Bottom