Wema na Idris ni wapenzi kweli?

Kwa njia hii hii Wema inamuingizia kipato
 
Ngoja na mimi nikoleze chumvi....
Zari akiwa naturally kabla ya filters
Hahahahaaa uwiiiii hii picha ilinichekesha sana aisee.
Mwe
Haifunguki ila kuna picha alipiga ma chameleon miaka ya nyuma yani alikua fair, sio hii super white
Na kiumbo kanyimwa.Ana kiumbo cha kihindi.
 
Nasikia Wema mjamzito eti! Hivi Idriss anaweza kuwa ndio baba.
Ila ilr ndoa yake ya Kiki ilivunjika?
Na ile mimba toka mwaka jana haikui?
Kwa kweli Wema bila Kiki kwisha habari yake.
 
Ila hiyo picha ya wema nadhani ya siku nyingi hahahah
 
Mwe
Haifunguki ila kuna picha alipiga ma chameleon miaka ya nyuma yani alikua fair, sio hii super white
Na kiumbo kanyimwa.Ana kiumbo cha kihindi.
Kuna moja alipiga na Ivan alipoenda kuposwa alikuwa na rangi yake ya kawaida tu na masikio Ivan was more black. Siku hzo camera 360 hazikuwepo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…