Nifah
JF-Expert Member
- Feb 12, 2014
- 34,020
- 79,098
Mhhhhhh wewe nae umeleta balaa!!!
Hiyo ni miguu ya mtu au kitimoto?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mhhhhhh wewe nae umeleta balaa!!!
nifah katika ubora wakeNgoja na mimi nikoleze chumvi....
Zari akiwa naturally kabla ya filters
Hahahahaaa uwiiiii hii picha ilinichekesha sana aisee.
Huyo kaka namheshimu sana,nadhani kateleza tu.
Angekua busy na kazi wala asingepata huo mudaKaja kuwarekebisha wenye kazi zisizo na tija
Mhhhhhh wewe nae umeleta balaa!!!
Hiyo ni miguu ya mtu au kitimoto?
MweNgoja na mimi nikoleze chumvi....
Zari akiwa naturally kabla ya filters
Hahahahaaa uwiiiii hii picha ilinichekesha sana aisee.
Ha ha ha nimecheka sana. Ila samahan Nimekuja kwa bahat mbaya uku!!Hii miguu mbona kama imeoza?
Wala.Ila hiyo picha ya wema nadhani ya siku nyingi hahahah
Sipend kumtukana Wehmer,ila kwa.orodha ya wanaume alotoka sina jina la kumpa kwakweli,zaid ya lilelile lililozoelekaHa ha ha nimecheka sana. Sahani komekuja kwa bahat mbaya uku!!
ondoa neno "kama" kisha andika upya sentensi mkuu.Hii miguu mbona kama imeoza?
Kuna moja alipiga na Ivan alipoenda kuposwa alikuwa na rangi yake ya kawaida tu na masikio Ivan was more black. Siku hzo camera 360 hazikuwepoMwe
Haifunguki ila kuna picha alipiga ma chameleon miaka ya nyuma yani alikua fair, sio hii super white
Na kiumbo kanyimwa.Ana kiumbo cha kihindi.
Ha ha ha haaaa,nacheka sana,ondoa neno "kama" kisha andika upya sentensi mkuu.
hahaa nipo mkuu, majukumu tu!Ha ha ha haaaa,nacheka sana,
Mzima lakini?