Wema na Idris ni wapenzi kweli?

Kuna moja alipiga na Ivan alipoenda kuposwa alikuwa na rangi yake ya kawaida tu na masikio Ivan was more black. Siku hzo camera 360 hazikuwepo
Shoga ndio nini kutukimbia namna hii?
Nimenuna aisee.
 
Fanya hivyo bwana, tatizo lako hujiamini.
Nilikuambia tukeep in touch hata kwa wasap ukakazingua.....
Ndio uyaone sasa....
Najiamini mno inabidi unitumie kile kitu sasa aisee mana kuingia huku nako mambo yakiwa tight inatia uvivu
 
Najiamini mno inabidi unitumie kile kitu sasa aisee mana kuingia huku nako mambo yakiwa tight inatia uvivu
Subiri nikucheki PM dear!Ni aibu mashost kama sisi kukutana huku tu.
Let's keep in touch dear.
 
Mhhhhhh wewe nae umeleta balaa!!!
Hiyo ni miguu ya mtu au kitimoto?
Tuwaulize nyie ladies.. hivi mkorogo mnaupendea nini???matokeo yake mnakua na rangi tatu mpaka nne mwili mmoja
 
Tuwaulize nyie ladies.. hivi mkorogo mnaupendea nini???matokeo yake mnakua na rangi tatu mpaka nne mwili mmoja
Sio wote tutake radhi,wengine tuko na rangi zetu adimu.
Hakuna kitu nachukia na kukiogopa kama mkorogo.
Wanaojichubua hawajiamini.
 
Ngoja na mimi nikoleze chumvi....
Zari akiwa naturally kabla ya filters
Hahahahaaa uwiiiii hii picha ilinichekesha sana aisee.
Ukiona picha ya huyu ametabasamu utanicheck @nifah fanya hivyo
 
Hahahahaaa unadhani hajijui kwamba akitabasamu anakuwa kama jini?
Hapigi picha akiwa anacheka ng'ooo!
Mimi nitaipatia wapi?
Hahahahaha katika pitapita zako unaweza bahatisha mrembo kama huyu hata tabasamu kweli duuuh.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…