Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Pambana,May Allah bless u comrade,things will be fine,hakusomek huku kabisaaaa.Fanya yako.hahaa nipo mkuu, majukumu tu!
Shoga ndio nini kutukimbia namna hii?Kuna moja alipiga na Ivan alipoenda kuposwa alikuwa na rangi yake ya kawaida tu na masikio Ivan was more black. Siku hzo camera 360 hazikuwepo
Hahaaaa ma weaving huwa yana saidia sana na camera na make upHaya hayaaaa,bibie Zari kabla ya filters huyo,picha ilikigoma kufunguka tena hapa andamaneni hadi kwa Max maana sio kwa kutunyima raha ya umbea namna hii.View attachment 316010
Cjakimbia dear u busy ninao sana tu ila sasa nitakua napita pita kidogoShoga ndio nini kutukimbia namna hii?
Nimenuna aisee.
Fanya hivyo bwana, tatizo lako hujiamini.Cjakimbia dear u busy ninao sana tu ila sasa nitakua napita pita kidogo
Shoga nilichekaje?Eti kuna team itafukuzwa kazi muda sio mrefu kwa kupost hiyo picha isiyo na filters.Hahaaaa ma weaving huwa yana saidia sana na camera na make up
Najiamini mno inabidi unitumie kile kitu sasa aisee mana kuingia huku nako mambo yakiwa tight inatia uvivuFanya hivyo bwana, tatizo lako hujiamini.
Nilikuambia tukeep in touch hata kwa wasap ukakazingua.....
Ndio uyaone sasa....
Hahaaaa kweli filter, weaving cream na make up zina save wengi aiseeShoga nilichekaje?Eti kuna team itafukuzwa kazi muda sio mrefu kwa kupost hiyo picha isiyo na filters.
Subiri nikucheki PM dear!Ni aibu mashost kama sisi kukutana huku tu.Najiamini mno inabidi unitumie kile kitu sasa aisee mana kuingia huku nako mambo yakiwa tight inatia uvivu
Sio huyo Zari tu,hata wema pia ndio haohao,umesahau zile picha za Wema na Idris Mwanza Idris alivyoweka picha kabla haijawekwa filters?Hahaaaa kweli filter, weaving cream na make up zina save wengi aisee
Tuwaulize nyie ladies.. hivi mkorogo mnaupendea nini???matokeo yake mnakua na rangi tatu mpaka nne mwili mmojaMhhhhhh wewe nae umeleta balaa!!!
Hiyo ni miguu ya mtu au kitimoto?
Sio wote tutake radhi,wengine tuko na rangi zetu adimu.Tuwaulize nyie ladies.. hivi mkorogo mnaupendea nini???matokeo yake mnakua na rangi tatu mpaka nne mwili mmoja
Hayo ndo magoti ya wema au ndo sioni vuzuri. Mmmmh
hiyo original baba, Canon D7 ilipiga hiyo picha...chezea Canon ww au unaisikia?Mkuu hiyo miguu ya wema imefanyiwa photoshop???
Hahahahaha katika pitapita zako unaweza bahatisha mrembo kama huyu hata tabasamu kweli duuuh.Hahahahaaa unadhani hajijui kwamba akitabasamu anakuwa kama jini?
Hapigi picha akiwa anacheka ng'ooo!
Mimi nitaipatia wapi?
Teh teh..Ameshachuja huyu..Kuna damu mbichi saa hivi mkuu..Huyu Wema labda nimpate hivihivi tu