Diva Beyonce
JF-Expert Member
- Mar 6, 2014
- 12,913
- 11,271
Wanajua Ku ji edit hao hatari aisee na hizi digital camera tena ngoma ukutane naye live. Jf Leo nimekuta notification naona maajabu aisee coz ni long zilikuwa hazionyeshiSio huyo Zari tu,hata wema pia ndio haohao,umesahau zile picha za Wema na Idris Mwanza Idris alivyoweka picha kabla haijawekwa filters?
Ikafutwa fastaaaa maana tuliona mapaja yaliyooza
Hahaaaaaa jamani uwiiiii umenichekesha aiseeeHahahahaaa unadhani hajijui kwamba akitabasamu anakuwa kama jini?
Hapigi picha akiwa anacheka ng'ooo!
Mimi nitaipatia wapi?
nasikia juzi katapika washroom.Nasikia Wema mjamzito eti! Hivi Idriss anaweza kuwa ndio baba.
Ila ilr ndoa yake ya Kiki ilivunjika?
Na ile mimba toka mwaka jana haikui?
Kwa kweli Wema bila Kiki kwisha habari yake.
Mhhhhhh watu kwa umbea?Hebu tujuze shost.....nasikia juzi katapika washroom.
HahahahaaaaHahaaaaaa jamani uwiiiii umenichekesha aiseee
Mhhhhhh hii mpya hii.Huyo Idris nae wanamfumua wanaume wenzake
Damu mbichi mtoto gigy money au vipiTeh teh..Ameshachuja huyu..Kuna damu mbichi saa hivi mkuu..Huyu Wema labda nimpate hivihivi tu
Shoga JF ya sasa imekuwaje tamu?Wanajua Ku ji edit hao hatari aisee na hizi digital camera tena ngoma ukutane naye live. Jf Leo nimekuta notification naona maajabu aisee coz ni long zilikuwa hazionyeshi
Kwamba unadhani sahivi mguu imenenepa walaaaa ipo hiyo hivo kama sindanoIla hiyo picha ya wema nadhani ya siku nyingi hahahah
Kwa hiyo hapa wewe upo kwenye kazi yenye tija makubwaKijana Tafuta Kazi zenye Tija, Hii tabia ya Kufuatilia Wasanii Na Kutaka Kujua Mahusiano Yao Haitakusaidia. Waste of Valuable time,Jirekebishe...
Ha ha ha ha ha mbuni mjane lolMiguu sasa!!, kama spoku ya Baiskeli.
Halafu huyu ndio afananishwe na Zari kwa uzuri na Miguu hii iliyo kama ya Mbuni aliyefiwa na mumewe!!!
Mnapata dhambi tu mnaemshindanisha uzuri huyu Wema na Bosslady.
Hivi hii habari hata warumi kashindwa kuthibitisha kama ni ukweli au vipi lolMhhhhhh watu kwa umbea?Hebu tujuze shost.....
Kwahiyo Idris ndio ana mbegu strong au?
Yule mtoto mdogo nae kujitia mkosi na kurumbembe lile!
Loooh!
Duh nilisikiaga hyo inshu ckuaminiHuyo Idris nae wanamfumua wanaume wenzake
Kwani mnashikiwaga bunduki?Jamani weupe wa dukani huu!
Mguu huo vepe!!
Wanaume wabaya nyie, tukiwafatisha kila mnachokitaka tutajipa ulemavu mpaka wa ubongo.
Hiiii cheki huo mzoga wa nywele urembo mnaupenda lakini mbona mnafake huo urembo
Wanamchapa nao kitambo mbona..Duh nilisikiaga hyo inshu ckuamini
Asalaleeeeee" kushnei sasa samantha alikua anamsungua na nini? I think ndio mana kachimbaWanamchapa nao kitambo mbona..
Mademu anaowaweza ni hao type ya wema ambaye ana wanaume wengi na wala hajali kuzuga na shoga.. Ila huyu dogo ni shoga anayezibua piaAsalaleeeeee" kushnei sasa samantha alikua anamsungua na nini? I think ndio mana kachimba