Diva Beyonce
JF-Expert Member
- Mar 6, 2014
- 12,913
- 11,271
Wanajua Ku ji edit hao hatari aisee na hizi digital camera tena ngoma ukutane naye live. Jf Leo nimekuta notification naona maajabu aisee coz ni long zilikuwa hazionyeshiSio huyo Zari tu,hata wema pia ndio haohao,umesahau zile picha za Wema na Idris Mwanza Idris alivyoweka picha kabla haijawekwa filters?
Ikafutwa fastaaaa maana tuliona mapaja yaliyooza