BansenBurner
JF-Expert Member
- Feb 16, 2015
- 6,810
- 5,773
Wale wakupigwa starter kwanza ndio aamshe" haha "shoga fresh"Mademu anaowaweza ni hao type ya wema ambaye ana wanaume wengi na wala hajali kuzuga na shoga.. Ila huyu dogo ni shoga anayezibua pia
Yaaanii...mmmh!!!Hii miguu mbona kama imeoza?
Hajaamua tu warumi akiamua atatuwekea hapa hadi pregnancy test wema aliyotumia ha ha haNashindwa kuelewa, warumi tunakutegemea katika hili tafadhali!
Tuondolee huu utata,au anzisha uzi exclusive wa hii habari.
kweli mkuu! Huwa nashangazwa Sana Na watu WA aina hii, bora hata angekua mwanamke ningesema vile mwalim Wao kipofuKijana Tafuta Kazi zenye Tija, Hii tabia ya Kufuatilia Wasanii Na Kutaka Kujua Mahusiano Yao Haitakusaidia. Waste of Valuable time,Jirekebishe...
Hivi Kaboom kweli $300,000 zikiwe na gumegume toka nchi nyingine???????Teh teh..Ameshakamata fursa tayari
Ungeiscreenshot banaSio huyo Zari tu,hata wema pia ndio haohao,umesahau zile picha za Wema na Idris Mwanza Idris alivyoweka picha kabla haijawekwa filters?
Ikafutwa fastaaaa maana tuliona mapaja yaliyooza
Hakuna mimba wala nini ni kiki tu anatafuta!Nasikia Wema mjamzito eti! Hivi Idriss anaweza kuwa ndio baba.
Ila ilr ndoa yake ya Kiki ilivunjika?
Na ile mimba toka mwaka jana haikui?
Kwa kweli Wema bila Kiki kwisha habari yake.
Hahaha akikata kona linaanza sikioHahaaaaaa uwiiii kweli maskio ingebidi liwe Dstv sio kwa ukubwa ule
Ngoja mpenda umbea niende....Haya jamani nimekuta Zamaradi anachambwa huko insta,msomeni Amirijeshi2016
HahahahaaaaView attachment 316034
Kwa nini topic ikiwa ya Wema lazima na Zari awekwe au topic ikiwa ya Zari Wema lazima awekwe? Topic inahusu Wema na IdrissWema hakujiumba.
Huyo zari mwenyewe mijino kama ngiri...imepandana mpaka huwa hasmile kuonyesha meno
Ila Wema uzuri wake
Na zari ana uzuri wake....
Walichofanana ni kufirigiswa tu na wanaume mbalimbali .... wema hapa bongo na wanaume wa zari anaweza unda "un summit"... kiufupi wote zari na wema ni wauzaji tu
Hajajiumba kumbukeni hilo nyie wenyewe hampo perfectZari kwa filter tu anaongoza....
Komwe sasa....
Na masikio kama dish la azam
(Leo timu domo watanishambuliaje)
Mwacheni Wema na miguu yake hajajiumba hapo ulipo una kasoro zako piaDuuu hizo ngoko za bibi bomba kama pingiri za miwa!(wema)
😕😕zamaradi yuko na umeme ati???..Haya jamani nimekuta Zamaradi anachambwa huko insta,msomeni Amirijeshi2016
HahahahaaaaView attachment 316034
Mpendwa vipi bana..Nitajia wakina Lulu au Tunda...Giggy achelewi kukuaibisha..Tecno na meneja wake wameambiwa wana vibamiaDamu mbichi mtoto gigy money au vipi
duuh kwaiyo >》ruge>}}}t.h.tHaya jamani nimekuta Zamaradi anachambwa huko insta,msomeni Amirijeshi2016
HahahahaaaaView attachment 316034
teh teh teh ila siutakuwa umeshakula mzigo???..Mpendwa vipi bana..Nitajia wakina Lulu au Tunda...Giggy achelewi kukuaibisha..Tecno na meneja wake wameambiwa wana vibamia