Wema na Idris ni wapenzi kweli?

Wema na Idris ni wapenzi kweli?

Mademu anaowaweza ni hao type ya wema ambaye ana wanaume wengi na wala hajali kuzuga na shoga.. Ila huyu dogo ni shoga anayezibua pia
Wale wakupigwa starter kwanza ndio aamshe" haha "shoga fresh"
 
Huyo miguu ukiona kabla hujaona sura unaweza ukatoka nduki utadhani umekutana na jini.
 
Kijana Tafuta Kazi zenye Tija, Hii tabia ya Kufuatilia Wasanii Na Kutaka Kujua Mahusiano Yao Haitakusaidia. Waste of Valuable time,Jirekebishe...
kweli mkuu! Huwa nashangazwa Sana Na watu WA aina hii, bora hata angekua mwanamke ningesema vile mwalim Wao kipofu
 
Sio huyo Zari tu,hata wema pia ndio haohao,umesahau zile picha za Wema na Idris Mwanza Idris alivyoweka picha kabla haijawekwa filters?
Ikafutwa fastaaaa maana tuliona mapaja yaliyooza
Ungeiscreenshot bana
Maana pics za wena zinareeeembwaaaaa
 
Haya jamani nimekuta Zamaradi anachambwa huko insta,msomeni Amirijeshi2016
Hahahahaaaa
uploadfromtaptalk1452491193874.png
 
Nasikia Wema mjamzito eti! Hivi Idriss anaweza kuwa ndio baba.
Ila ilr ndoa yake ya Kiki ilivunjika?
Na ile mimba toka mwaka jana haikui?
Kwa kweli Wema bila Kiki kwisha habari yake.
Hakuna mimba wala nini ni kiki tu anatafuta!
 
Wema hakujiumba.
Huyo zari mwenyewe mijino kama ngiri...imepandana mpaka huwa hasmile kuonyesha meno

Ila Wema uzuri wake
Na zari ana uzuri wake....

Walichofanana ni kufirigiswa tu na wanaume mbalimbali .... wema hapa bongo na wanaume wa zari anaweza unda "un summit"... kiufupi wote zari na wema ni wauzaji tu
Kwa nini topic ikiwa ya Wema lazima na Zari awekwe au topic ikiwa ya Zari Wema lazima awekwe? Topic inahusu Wema na Idriss
 
Back
Top Bottom