Mwambie ajisitiri kwani ni lazima ku disply milonjo wakati imeharibika? Avae nguo ndefu akivaa fupi tunapata cha kuongea mbona wapo wengi wenye kasoro nila wanajielewa wanajua namna ya kuzisitiri!Kama siyo miguu na wewe una kasoro nyingine siyo lazima iwe miguu. Haijaniuma ila inauma mnavyojua kukosoa uumbaji wa Mungu hajajiumba kaumbwa
Hiyo avatar yako inanitisha ety[emoji85] [emoji85] [emoji85] [emoji85] [emoji85] [emoji85] [emoji85] [emoji85]Ni Hatareee,Wema na Zari wote wazuri jamani,sema tu kila mtu hapo Ana extra kumzidi mwenzake,wema kwa shape na mideko yupo juu,zari mapozi yake ni shida.
✔Hilo swala la Amirijeshi ni shigda,Hizo nyaya Maza-thunderstorm kakanyaga kwa GerU maana pamoja na pesa alizokuwa nazo Yahaya hana nuru amechakaa utafikiri anakula cement.
Hahahaha hiii lugha kama so mbeaaa huwez elewaaaNi Hatareee,Wema na Zari wote wazuri jamani,sema tu kila mtu hapo Ana extra kumzidi mwenzake,wema kwa shape na mideko yupo juu,zari mapozi yake ni shida.
✔Hilo swala la Amirijeshi ni shigda,Hizo nyaya Maza-thunderstorm kakanyaga kwa GerU maana pamoja na pesa alizokuwa nazo Yahaya hana nuru amechakaa utafikiri anakula cement.
nifah.kama ni hivi basi wema ni mzuri mara dufu kabla hawajaenda gereji lakiniNgoja na mimi nikoleze chumvi....
Zari akiwa naturally kabla ya filters
Hahahahaaa uwiiiii hii picha ilinichekesha sana aisee.
Mnamzungumzia huyu au?Jamani naomba mnisaidie kunifahamisha hivi wema na Idris ni wapenzi kweli? Au Kuna movie wanatarajia kuitoa hivyo wanaifanyia promo?
Kwa sababu watu wamezoea kuwapambanisha....Kwa nini topic ikiwa ya Wema lazima na Zari awekwe au topic ikiwa ya Zari Wema lazima awekwe? Topic inahusu Wema na Idriss
Hajajiumba kumbukeni hilo nyie wenyewe hampo perfect
Ngoja na mimi nikoleze chumvi....
Zari akiwa naturally kabla ya filters
Hahahahaaa uwiiiii hii picha ilinichekesha sana aisee.
Hivi hao mabwana zake wanadindishaje,au kabla wanaangalia kwaza porn movie?nimeangalia miguu yake nimejikuta nawaza kwa sauti.
Tatizo ni kuwa mnamtukuza mnoo kana kwamba hana mapungufu makubwa kama hayo.Kama siyo miguu na wewe una kasoro nyingine siyo lazima iwe miguu. Haijaniuma ila inauma mnavyojua kukosoa uumbaji wa Mungu hajajiumba kaumbwa
Dina fungua ID nyingine bwana,hii haijakaa poa dear.Nimecheka wema kaonywa akae mbali na samata
Dina fungua ID nyingine bwana,hii haijakaa poa dear.
Am sorry lakini,sijui wenzangu wameionaje.....
Kwakua wewe ni pacha wa warumi basi fungua ID itakayofanana na yake, mf Wakorinto.... Hahhhahaa
Then unafungua uzi tunakufanyia party hapahapa JF ya kukukaribisha tena.
Only advice though......