Wema na Idris ni wapenzi kweli?

Wema na Idris ni wapenzi kweli?

Kama siyo miguu na wewe una kasoro nyingine siyo lazima iwe miguu. Haijaniuma ila inauma mnavyojua kukosoa uumbaji wa Mungu hajajiumba kaumbwa
Mwambie ajisitiri kwani ni lazima ku disply milonjo wakati imeharibika? Avae nguo ndefu akivaa fupi tunapata cha kuongea mbona wapo wengi wenye kasoro nila wanajielewa wanajua namna ya kuzisitiri!
 
Ni Hatareee,Wema na Zari wote wazuri jamani,sema tu kila mtu hapo Ana extra kumzidi mwenzake,wema kwa shape na mideko yupo juu,zari mapozi yake ni shida.

✔Hilo swala la Amirijeshi ni shigda,Hizo nyaya Maza-thunderstorm kakanyaga kwa GerU maana pamoja na pesa alizokuwa nazo Yahaya hana nuru amechakaa utafikiri anakula cement.
Hiyo avatar yako inanitisha ety[emoji85] [emoji85] [emoji85] [emoji85] [emoji85] [emoji85] [emoji85] [emoji85]
 
Ni Hatareee,Wema na Zari wote wazuri jamani,sema tu kila mtu hapo Ana extra kumzidi mwenzake,wema kwa shape na mideko yupo juu,zari mapozi yake ni shida.

✔Hilo swala la Amirijeshi ni shigda,Hizo nyaya Maza-thunderstorm kakanyaga kwa GerU maana pamoja na pesa alizokuwa nazo Yahaya hana nuru amechakaa utafikiri anakula cement.
Hahahaha hiii lugha kama so mbeaaa huwez elewaaa
 
Huyo idris nae wacha watu wale vidola hivyo viishe apumzike Kama mwenzie Mr Morogoro. warumi njoo huku
 
Ngoja na mimi nikoleze chumvi....
Zari akiwa naturally kabla ya filters
Hahahahaaa uwiiiii hii picha ilinichekesha sana aisee.
nifah.kama ni hivi basi wema ni mzuri mara dufu kabla hawajaenda gereji lakini
 
tunda76_2015-12-17_14-56-18_zpsnkbsfhce.jpg
WEMA.JPG
 
Hahahaha jaman dunia ina mambo

Nlikua sijui kama zarina hassan ana masikio imebidi nimtafute insta nijionee hahah
 
Zari endelea kuwakimbiza hadi rangi ya ngozi yako hawalali duh... wangemuona dada yako yule ndio wangesema nae amejibadili.

Utafikiri wakipiga picha zao zote uwatoaga rangi moja na wengi wamezoea 360.
 
Kwa nini topic ikiwa ya Wema lazima na Zari awekwe au topic ikiwa ya Zari Wema lazima awekwe? Topic inahusu Wema na Idriss
Kwa sababu watu wamezoea kuwapambanisha....

Na zari anarudha madongo huko snapchat
 
Hahahahhaha aseeee duh kweli watu wana mafile ya watu
Ngoja na mimi nikoleze chumvi....
Zari akiwa naturally kabla ya filters
Hahahahaaa uwiiiii hii picha ilinichekesha sana aisee.
 
Nimecheka wema kaonywa akae mbali na samata
Dina fungua ID nyingine bwana,hii haijakaa poa dear.
Am sorry lakini,sijui wenzangu wameionaje.....
Kwakua wewe ni pacha wa warumi basi fungua ID itakayofanana na yake, mf Wakorinto.... Hahhhahaa
Then unafungua uzi tunakufanyia party hapahapa JF ya kukukaribisha tena.
Only advice though......
 
Ahhahah jamani naitaka ya dina mie hahahahahajajaj
 
Zari nae kumbe ni makeup tu na hizo filter ,ndio maana kila muda anajipodoa ,wema nae ngoja nipite tu
 
Back
Top Bottom