Wema na Idris ni wapenzi kweli?

Zari nae kumbe ni makeup tu na hizo filter ,ndio maana kila muda anajipodoa ,wema nae ngoja nipite tu
Zari nae kazidisha filters....khaaa!
Hana tofauti na Wolper,sijui wanasikia raha gani!
Bora Shamsa,anajikubali sana na ucheusi dawa wake.
 
Zari nae kazidisha filters....khaaa!
Hana tofauti na Wolper,sijui wanasikia raha gani!
Bora Shamsa,anajikubali sana na ucheusi dawa wake.

Yaan wanajizidishaaa sio sirii na hawajiaminiii kabisa
 
Zari akiwa amecheka
 

Attachments

  • 1452517514251.jpg
    38.7 KB · Views: 215
Wema na Idriss walianza kusanuka tokea Idriss yupo na Samantha .Kwa siri mno, Shaba ranks alikua ni mshika pembe kwa ajili ya KiKi.Usiku wa tekno walikua wanafanya mambo ya ajabu utadhan hawajalalana mwaka mzima.
Tupia pc bhassss tuone vitu au?
 
Miguu sasa!!, kama spoku ya Baiskeli.
Halafu huyu ndio afananishwe na Zari kwa uzuri na Miguu hii iliyo kama ya Mbuni aliyefiwa na mumewe!!!
Mnapata dhambi tu mnaemshindanisha uzuri huyu Wema na Bosslady.
Huyu demu asingekuwa anajipodoa angekuwaga na mvuto sana hasa hilo jishepu Lake, miguu yake ndio asili ya mademu wa kinyaturu wako hivyo asilimia kubwa.
 
Kijana Tafuta Kazi zenye Tija, Hii tabia ya Kufuatilia Wasanii Na Kutaka Kujua Mahusiano Yao Haitakusaidia. Waste of Valuable time,Jirekebishe...
Ushauri mzuri , ila kama ni kijana wa kike nadhani hii ndio kazi yao , ila kama ni mwanaume ajirekebishe.
 
Hakuna kitu nisichokipenda chini ya jua kama mwanamke anayejichubua... hadi kichefuchefu
 
Sasa tufanyeje kama mods hawataki kukufungulia mamito?
Tunakumiss kwenye umbea ujue?
Fanya hivyo halafu Dinazarde ikirudi tunaendelea.
Kumbe Dinazarde hajarudishwa kwao Burundi?
Nimefurahi kumwona eti my hubby!
Koh koh koh!!
Umemjuaje??
Asije akawa jambawazi wa ID ya dina
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…