Nifah
JF-Expert Member
- Feb 12, 2014
- 34,020
- 79,098
Sasa tufanyeje kama mods hawataki kukufungulia mamito?Ahhahah jamani naitaka ya dina mie hahahahahajajaj
Tunakumiss kwenye umbea ujue?
Fanya hivyo halafu Dinazarde ikirudi tunaendelea.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sasa tufanyeje kama mods hawataki kukufungulia mamito?Ahhahah jamani naitaka ya dina mie hahahahahajajaj
Hili tako silipatii picha saa hizi limeporomoka mpaka magotini.
Zari nae kazidisha filters....khaaa!Zari nae kumbe ni makeup tu na hizo filter ,ndio maana kila muda anajipodoa ,wema nae ngoja nipite tu
Hahahahahaaaaa sipatii picha akipiga hivyo sasa hivi!Hili tako silipatii picha saa hizi limeporomoka mpaka magotini.
Siku nikimwona Wema kavaa bikini najiudhuru umbeya.
Hatupo perfect.Hatujasema kama tupo perfect......
Zari nae kazidisha filters....khaaa!
Hana tofauti na Wolper,sijui wanasikia raha gani!
Bora Shamsa,anajikubali sana na ucheusi dawa wake.
Hii miguu mbona kama imeoza?[/QUOT
Tupia pc bhassss tuone vitu au?Wema na Idriss walianza kusanuka tokea Idriss yupo na Samantha .Kwa siri mno, Shaba ranks alikua ni mshika pembe kwa ajili ya KiKi.Usiku wa tekno walikua wanafanya mambo ya ajabu utadhan hawajalalana mwaka mzima.
Mkuu hiyo miguu ya wema imefanyiwa photoshop???
Huyu demu asingekuwa anajipodoa angekuwaga na mvuto sana hasa hilo jishepu Lake, miguu yake ndio asili ya mademu wa kinyaturu wako hivyo asilimia kubwa.Miguu sasa!!, kama spoku ya Baiskeli.
Halafu huyu ndio afananishwe na Zari kwa uzuri na Miguu hii iliyo kama ya Mbuni aliyefiwa na mumewe!!!
Mnapata dhambi tu mnaemshindanisha uzuri huyu Wema na Bosslady.
Kafanya kosa gani? awaombe radhi kupitia support@jamiiforums.comSasa tufanyeje kama mods hawataki kukufungulia mamito?
Tunakumiss kwenye umbea ujue?
Fanya hivyo halafu Dinazarde ikirudi tunaendelea.
Ushauri mzuri , ila kama ni kijana wa kike nadhani hii ndio kazi yao , ila kama ni mwanaume ajirekebishe.Kijana Tafuta Kazi zenye Tija, Hii tabia ya Kufuatilia Wasanii Na Kutaka Kujua Mahusiano Yao Haitakusaidia. Waste of Valuable time,Jirekebishe...
Hahahahaaa nilishtuka niliposoma hii quote,lakini nilipoangalia id nikabaki nacheka tu.mizuri sana,she is the cutest woman in east africa..east african sweetheart
Doooh shoga siku zote nakuona ila ndo sjui ka ndo wewe Dina mweYaan wanajizidishaaa sio sirii na hawajiaminiii kabisa
Waaaaaao!Zari nae kumbe ni makeup tu na hizo filter ,ndio maana kila muda anajipodoa ,wema nae ngoja nipite tu
Kumbe Dinazarde hajarudishwa kwao Burundi?Sasa tufanyeje kama mods hawataki kukufungulia mamito?
Tunakumiss kwenye umbea ujue?
Fanya hivyo halafu Dinazarde ikirudi tunaendelea.
Doooh shoga siku zote nakuona ila ndo sjui ka ndo wewe Dina mwe