My hubby
JF-Expert Member
- Dec 4, 2015
- 451
- 413
Kumbe Dinazarde hajarudishwa kwao Burundi?
Nimefurahi kumwona eti my hubby!
Koh koh koh!!
Umemjuaje??
Asije akawa jambawazi wa ID ya dina
Hahahaha kwani kwetu Burundi kumbe hahahahahah uwiiiiii
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kumbe Dinazarde hajarudishwa kwao Burundi?
Nimefurahi kumwona eti my hubby!
Koh koh koh!!
Umemjuaje??
Asije akawa jambawazi wa ID ya dina
Sasa tufanyeje kama mods hawataki kukufungulia mamito?
Tunakumiss kwenye umbea ujue?
Fanya hivyo halafu Dinazarde ikirudi tunaendelea.
Miss you hahahahahahahahah ni mieeeee
Hahahahaaa miss you sana mbea mwenzetu,hebu rudi bwana jukwaa lishaanza kuchangamka.Hu huuu haya nitabadiliiiii nilishindwa kuvumilia nilikuwa nawasoma tu jamani kukoment nashindwa nikasema nitakufwaaaaaaa kwa kukosa umbea mara mniite marehemu yaan huyu warumi