Wema na Idris waachana

Wema na Idris waachana

Status
Not open for further replies.
Kumekucha insta!

Wema Sepetu amefuta picha zote za Idriss kwenye akaunti yake ya Instagram, hii inaweza kua ni kiashiria kingine cha kuachana kwa wapenzi hawa.
Kwani madhara yake nini kwake, kwetu na kwao. Akiweza ajifute hata yeye mwenyewe. no P
 
Yule bidada angekuwa na mshauri mzuri angeweza kuwa brand inayotengeneza sana hela,..babu tale na fela hebu msaidieni huyu Dada,I'm sure magazet ya udaku yananufaika sana while yeye njaa tupu.
Yaan nimeipenda sana hii comment. .. lol! Wel said...
 
Nafikili move bado inaendelea ngoja tuone atakayechoka nae
 
Kuna habari za chini ya kapeti kwamba mwanadada Wema Sepetu amemwaga prince charming wake Idris.Habari kutoka ghorofa ya pili nyumbani kwa Idris zinasema Wema hapokei simu za jamaa huku mnyange huyo akienda mbele zaidi na kufuta picha za jamaa huyo kwenye IG yake. Idris na yeye anaingia kwenye orodha ya jamaa walioingia kwa Wema na kuonja utamu na kisha kupitiliza.
Tulipompigia simu Wema alikataa kuzungumzia suala hilo lakini pia alipoulizwa kipi atakimiss kutoka kwa Idris kama wataachana alisema "Kwa kweli miguu ya Idris inaniacha nimepondeka kama nyanya kwa kweli naipenda sana hasa jinsi ilivyojikunja kwa chini,kwa kweli sijawahi kuwa na mtu mwenye miguu kama ya Idris"

Pia tulipotaka kujua kama amemalizana na Tanesco alikata simu na haikupatikana tena, mwandishi wetu anafuatilia suala hili kwa ukaribu ili kuwajuza nini kinaendela hasa ukizingatia tayari tumeishapandikiza vinasa sauti kwenye nyumba za maceleb hawa
udaku on spot ...promo promo!!
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom