Kwani madhara yake nini kwake, kwetu na kwao. Akiweza ajifute hata yeye mwenyewe. no PKumekucha insta!
Wema Sepetu amefuta picha zote za Idriss kwenye akaunti yake ya Instagram, hii inaweza kua ni kiashiria kingine cha kuachana kwa wapenzi hawa.
Yaan nimeipenda sana hii comment. .. lol! Wel said...Yule bidada angekuwa na mshauri mzuri angeweza kuwa brand inayotengeneza sana hela,..babu tale na fela hebu msaidieni huyu Dada,I'm sure magazet ya udaku yananufaika sana while yeye njaa tupu.
udaku on spot ...promo promo!!Kuna habari za chini ya kapeti kwamba mwanadada Wema Sepetu amemwaga prince charming wake Idris.Habari kutoka ghorofa ya pili nyumbani kwa Idris zinasema Wema hapokei simu za jamaa huku mnyange huyo akienda mbele zaidi na kufuta picha za jamaa huyo kwenye IG yake. Idris na yeye anaingia kwenye orodha ya jamaa walioingia kwa Wema na kuonja utamu na kisha kupitiliza.
Tulipompigia simu Wema alikataa kuzungumzia suala hilo lakini pia alipoulizwa kipi atakimiss kutoka kwa Idris kama wataachana alisema "Kwa kweli miguu ya Idris inaniacha nimepondeka kama nyanya kwa kweli naipenda sana hasa jinsi ilivyojikunja kwa chini,kwa kweli sijawahi kuwa na mtu mwenye miguu kama ya Idris"
Pia tulipotaka kujua kama amemalizana na Tanesco alikata simu na haikupatikana tena, mwandishi wetu anafuatilia suala hili kwa ukaribu ili kuwajuza nini kinaendela hasa ukizingatia tayari tumeishapandikiza vinasa sauti kwenye nyumba za maceleb hawa
Can anyone predict who is next after idris?
Idris is dumped now......550million washed !
Lool àt you poor idris
Daah..Movie ya Wema na Idris imekuwa fupi sana aise..Inabidi waturudishie chenji zetuMadam Evelyn Salt MSAGA SUMU karudi aisee.
Kaboom jipange nafasi iko wazi kwa madam, hope ulichukua contacts siku ile ulipoenda kwenye tamasha lake la valentine.
labda next after mkongo...Can anyone predict who is next after idris?
Idris is dumped now......550million washed !
Lool àt you poor idris
Daah..Movie ya Wema na Idris imekuwa fupi sana aise..Inabidi waturudishie chenji zetu
wema hajapata ukimwi tu hadi leo?
hahaha weewe unampikia mungu chai ama nini unasema ntakufa ni tamwacha..... anza wewe kufa kwanza alaaa[emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji16]Utakufa na kumuacha anawachuna tu
Kama cdm wanavyo jaribu kwa Lowassadogo alijaribu kufuga kunguru.