Basi sawa popoma,yameisha.....Najua tunapendana....ila kama sio hii bahari ya Atlantic kututenganisha....ningekuwa nimeshakuoa (kama hujaolewa)
Uchaw ndo unanweka mjini nnaachaje kwa mfano?We babu vp acha uchawi
More than truth.You can delete every single pic but you you will never be able to delete all memories and things you did together
Remy naye alikuwa nabii, aliliona ili, wema kashindikana...muda si muda ataanza kupigwa miti na wanafunzi wa chuo....In Remy ongala voice
Mimba gani? alifunga matambara yuleHivi na hiyo mimba ilikuwepo kweli au...?
umeona sijui kesi yao ya wizi imeishia wapi maana wamehama uenda msala wakamwachia mwenye nyumba kwani mita inasoma mwenye nyumba si wema, wema ni mtumiaji anaweza kusema naye alkuta hivyo hivyoWote wezi wa umeme tuu hawana jipya.
Wema ni malaya hilo halina ubishi, hela yako tuuNasikitika hujanijibu hata hoja moja Zaidi ya kuniattack mie na kumuattack Wema kwa mara nyingine,.....Kumbuka binadamu mwenye busara humjali na kumtetea yoyte hata kama si ndugu yake, ni ubinafsi mkubwa ati kisa Wema si dada yako, au Mwanao ndo uporomoshe kashfa na maneno machafu na viapizo juu yake, Wema tunawajua mabwana zake kwasabab anawatangaza (kitu ambacho hata mimi sikubaliani nacho), Lakin hao unaowaona wako kimya usikute wametembea na miwanaume kibao kushinda hao wa wema na ukajikuta unatongoza na kumuita babe kumbe ana babes 10 wengine kama wewe wamepita na 5 bado unaminyana nao, Narudia tena acha kumuapiza kwa Mungu mtoto wa watu, Mungu hapendi na mara nyingi ile laana inarudi kwako ndo inaenda kwa mtu uliemuapiza. (Si maanishi kama haturuhusiwi kuambiana juu ya matendo yetu ) bali kuna kumueleza mtu na kuna kumuombea au kumuapiza apate hayo majanga.....Naomba nisikujibu tena.
Nasikitika hujanijibu hata hoja moja Zaidi ya kuniattack mie na kumuattack Wema kwa mara nyingine,.....Kumbuka binadamu mwenye busara humjali na kumtetea yoyte hata kama si ndugu yake, ni ubinafsi mkubwa ati kisa Wema si dada yako, au Mwanao ndo uporomoshe kashfa na maneno machafu na viapizo juu yake, Wema tunawajua mabwana zake kwasabab anawatangaza (kitu ambacho hata mimi sikubaliani nacho), Lakin hao unaowaona wako kimya usikute wametembea na miwanaume kibao kushinda hao wa wema na ukajikuta unatongoza na kumuita babe kumbe ana babes 10 wengine kama wewe wamepita na 5 bado unaminyana nao, Narudia tena acha kumuapiza kwa Mungu mtoto wa watu, Mungu hapendi na mara nyingi ile laana inarudi kwako ndo inaenda kwa mtu uliemuapiza. (Si maanishi kama haturuhusiwi kuambiana juu ya matendo yetu ) bali kuna kumueleza mtu na kuna kumuombea au kumuapiza apate hayo majanga.....Naomba nisikujibu tena.