Wema na Idris waachana

Wema na Idris waachana

Status
Not open for further replies.
sammatta amekoswa koswa.. saiv zamu ya fransis cheka ajiandae..hahahahahaaa
 
Wote wezi wa umeme tuu hawana jipya.
umeona sijui kesi yao ya wizi imeishia wapi maana wamehama uenda msala wakamwachia mwenye nyumba kwani mita inasoma mwenye nyumba si wema, wema ni mtumiaji anaweza kusema naye alkuta hivyo hivyo
 
Taarifa za kiinteligensia zinathibitisha kwamba Wema bado ni mjamzito na bado anadate na Idris, wamezuga tu ili kuondoa attention ya mimba
 
Nasikitika hujanijibu hata hoja moja Zaidi ya kuniattack mie na kumuattack Wema kwa mara nyingine,.....Kumbuka binadamu mwenye busara humjali na kumtetea yoyte hata kama si ndugu yake, ni ubinafsi mkubwa ati kisa Wema si dada yako, au Mwanao ndo uporomoshe kashfa na maneno machafu na viapizo juu yake, Wema tunawajua mabwana zake kwasabab anawatangaza (kitu ambacho hata mimi sikubaliani nacho), Lakin hao unaowaona wako kimya usikute wametembea na miwanaume kibao kushinda hao wa wema na ukajikuta unatongoza na kumuita babe kumbe ana babes 10 wengine kama wewe wamepita na 5 bado unaminyana nao, Narudia tena acha kumuapiza kwa Mungu mtoto wa watu, Mungu hapendi na mara nyingi ile laana inarudi kwako ndo inaenda kwa mtu uliemuapiza. (Si maanishi kama haturuhusiwi kuambiana juu ya matendo yetu ) bali kuna kumueleza mtu na kuna kumuombea au kumuapiza apate hayo majanga.....Naomba nisikujibu tena.
Wema ni malaya hilo halina ubishi, hela yako tuu
 
Wewe una mtazamo chanya na mwenzio ana mtazamo hasi......kwa hiyo kuelewana hapo ni mpaka Ngorongoro ihamie ugogoni!!
 
napata picha kama watanzania wangekuwa makini hivi kufwatilia biashara zao kazi zao, masomo yao tungekuwa mbali ila sasa daahhh. na hizi university promotion nazo zimachangia
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom