Wema na Idriss Kimenuka

Wema na Idriss Kimenuka

Sky Eclat

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2012
Posts
57,761
Reaction score
216,011
Screenshot_2016-06-23-14-41-15-1.png

Screenshot_2016-06-23-14-40-48-1.png
 
No ameweka picha ya Luis Munana na kusema si kila kitu kinapaswa kuongelewa. Mbona kazi kwa mrembo wetu Miss Tanzania 2006.
Huyo Luis Munana ndio nani....

Naona na wewe unaripoti ki insta insta...
 
Luis Munana alikuwa na Idriss kwenye big brother akiwakilisha nchi yake Zambia, baada ya big brother Wema alitoka na Luis baadae wote tulishangaa anatoka na Idriss ambae ni rafiki wa Luis, sasa inawezekena amerudi kule alikotoka.
 
Aisee.... Huyu Wema..... !? Kwahiyo anaipeleka K Zambia sasa. Anatumia ndumba!?
 
Luis Munana alikuwa na Idriss kwenye big brother akiwakilisha nchi yake Zambia, baada ya big brother Wema alitoka na Luis baadae wote tulishangaa anatoka na Idriss ambae ni rafiki wa Luis, sasa inawezekena amerudi kule alikotoka.
Kushea ni UNYAMWEZI
 
Luis munana anajua kiswahili au kutafuta kik mama ubaya demu wa ajabu sana anahuruma kwa Kila kidume ngoja nitafute pesa...
 
  • mamakichogohaf alikua anakufubaisha na mdudee wake ona sasa ulvyoshine umekua mbichiiiiii sijui mdude wa Nani huo unakung'arisha ivyo@wemasepetu
 
Back
Top Bottom