Wema na Idriss Kimenuka

Wema na Idriss Kimenuka

Kwahiyo alikua anajijua kuwa yeye ni dereva tu lakini kuna wanaogharamia petroli.
Alijua kapata kumbe kapatikana....
If you dont got cash you wont be gettin no cute chicks Idriss ni washedup kwa sasa so Wema ni lazima aendelee na maisha yake ya spotlight.
Hata kupe hanasi kwenye mwili wa kiumbe aliye kauka damu.
 
Alijua kapata kumbe kapatikana....
If you dont got cash you wont be gettin no cute chicks Idriss ni washedup kwa sasa so Wema ni lazima aendelee na maisha yake ya spotlight.
Hata kupe hanasi kwenye mwili wa kiumbe aliye kauka damu.[/QUOTE
Mapenzi ya mjini hayo.
 
Yaani huyu bidada hafanani na jina lake
Au ndo kalitoa sadaka litende wema kwa kila kiumbe wa kiume
 
Huyu mtoto wanampapasa hawajui kumkuna haswaa atulie shida sana acheni kula tembe
 
Amerudi analiaaeeeeee
Amerudi analiaeeeeeee

Huruma anatia hurumaa
Huruma anatia hurumaa
[emoji443] [emoji443] [emoji443] [emoji441] [emoji441] [emoji441] [emoji441]
 
Mie mwenyewe napenda umbea mnooo
Kwahiyo wameachana au kik tu hawa nao, ili munana akimrudia wema atakua zombie sana
Wema anatafuta kik tu hana lolote, luis ana nini zaidi ya yale matuta sita, na wema huna pesa hata upake perfum utanuka shombo
 
Fanya hivi nenda kwenye post aloandika kiarabu.. shuka chini kwenye hiyo post utakuta kitu kimeandikwa see translation click hapo utajioneaaa yoote ya kiarab to english
Asante ngoja niende manake nilikuwa napitaga tu sijichoshi na ule mcharazo
 
Tushachoka na habari za kuachwa kila baada ya miezi dahhh
 
Hizi kick za msimu tu
Na alivyoona kashtukiwa akajisafisha eti yeye mwenyewe kik, asingekuwa anatafuta kik asingejivika shela na kutangaza harusi isio kuwa na bwana harusi kwenye white party ya zari
 
Back
Top Bottom