Alijua kapata kumbe kapatikana....Kwahiyo alikua anajijua kuwa yeye ni dereva tu lakini kuna wanaogharamia petroli.
Alijua kapata kumbe kapatikana....
If you dont got cash you wont be gettin no cute chicks Idriss ni washedup kwa sasa so Wema ni lazima aendelee na maisha yake ya spotlight.
Hata kupe hanasi kwenye mwili wa kiumbe aliye kauka damu.[/QUOTE
Mapenzi ya mjini hayo.
Ww ndo baby'ake wa instaNa Indriss ameweka sahani empty kuwa ameshamaliza hakuna ambacho amebakisha.
Idd nadhani ndio anaclean clean bill zake pale TRA way to own private jet ndio maana labda kafuliaMtonyo utakua umemkatikia chalii.An expensive pussy must go at the end of the day.
Ndio umeshahusika hivyo tenaHaya ma thread mengine hayatuhusu
Mbio za vijiti, munana kamkimbiza idd mpaka kamkamata akampokea tena kijiti.Sijaelewa....!
Kama mawimbi ya bahari, nikisema bendera limezoelekaHa ha ha yani mashabiki wa wema akili zao eeeh
[emoji85][emoji85][emoji85][emoji85][emoji85]Kwani mwenye thread amekutag???
Wema anatafuta kik tu hana lolote, luis ana nini zaidi ya yale matuta sita, na wema huna pesa hata upake perfum utanuka shomboMie mwenyewe napenda umbea mnooo
Kwahiyo wameachana au kik tu hawa nao, ili munana akimrudia wema atakua zombie sana
Asante ngoja niende manake nilikuwa napitaga tu sijichoshi na ule mcharazoFanya hivi nenda kwenye post aloandika kiarabu.. shuka chini kwenye hiyo post utakuta kitu kimeandikwa see translation click hapo utajioneaaa yoote ya kiarab to english
[emoji134][emoji134][emoji134][emoji134][emoji134][emoji134]
- sexhotstars@mamakichongo idrisa anatoka na munalove liveeee
Luis ananichekeshaga tu zile nyusi zake kama wiperWema anatafuta kik tu hana lolote, luis ana nini zaidi ya yale matuta sita, na wema huna pesa hata upake perfum utanuka shombo
Na alivyoona kashtukiwa akajisafisha eti yeye mwenyewe kik, asingekuwa anatafuta kik asingejivika shela na kutangaza harusi isio kuwa na bwana harusi kwenye white party ya zariHizi kick za msimu tu
kibarua gani tena mkuu? talk show?Amepata kibarua Radio FM sikuhizi, pesa ya kuleta mkate nyumbani anayo.