Aisee...Idd nadhani ndio anaclean clean bill zake pale TRA way to own private jet ndio maana labda kafulia
SHE is... bado sijakuelewa mkuu. FM radio ipi mkuu? ipo maeneo gani hii mkuu? unamaanisha E~FM au redio nyingine?He is a radio presenter of FM Radio.
poa mkuu. lakini tena uliposema HE is a radio presenter ukawa umenichanganya. nikashangaa kwani wema ni SHE au HE?Hiyo hiyo.
poa mkuu, naona nimechanganya mafaili. hahahaha!Ninamaana Idriss mkuu, madame siyo radio presenter.
Muongozaji, niko na HD glasses zangu saa nyingi na popcorn. na acha iendeleeAcha movie iendelelee...ha ha ha
Muongozaji, niko na HD glasses zangu saa nyingi na popcorn. na acha iendelee
Mwenyewe nlimshangaa Sana huyu mdada kumchukulia Luis mchana kweupeeeeLuis Munana alikuwa na Idriss kwenye big brother akiwakilisha nchi yake Zambia, baada ya big brother Wema alitoka na Luis baadae wote tulishangaa anatoka na Idriss ambae ni rafiki wa Luis, sasa inawezekena amerudi kule alikotoka.
muda wake umeisha....!Dogo amepigwa chini na mama ubaya.