Wema na Ivan it's ON, Wana-date

ladykims

JF-Expert Member
Joined
Jan 27, 2013
Posts
547
Reaction score
253
In other news, Tanzania's sweetheart ,Wema Sepetu is officially dating mheshimiwa Ivan kutoka Uganda ambae kwa sasa anaishi South Africa. Kwa msiomfahamu IVAN ni ex-husband wa GF wa Tanzania's superstar Diamond PLATNUMZ anaejulikana kama Zari the boss lady.

Yes, this is 120% confirmed,no, its 200% CONFIRMED. Kwasasa hawataki kuweka relationship yao out there kama kina fulani sababu wao wako pamoja sababu wanapendana na sio sababu wanataka kushindana na their exes au sababu they are looking for attention.

I think Wema kajifunza kuwa hizi relationship za mapicha kila baada ya dakika 5 huwa hazi last so kaamua yeye na Ivan mapenzi yao yawe ya kwao wao mpaka hapo watakapo ona wamejuana vizuri ndo watayaweka wazi. Yes, wengi wataona kuwa sio sawa hawa kuwa pamoja kwa sababu zilizo wazi ila pia mkumbuke kuwa sometimes watu hukutana kwenye circumstances za ajabu ajabu.

Yes, labda wasingejuana kama sio exes wao kutoka pamoja ila again labda ndo ilikuwa njia ya Mungu kuwakutanisha wawili hawa.

Hata Rihanna aliimba " We found love in a hopeless place" naongea hivi sababu, it is real between these 2 na wanapendana haswaaaa. Na nimeamua kuwa support mapenzi yao sababu wanayaficha which means ni mapenzi ya kweli, sio mapenzi ya magazeti au kuonyesha watu au kutafuta attention like kina fundenge

Yaani ni mapenzi ya kiutu uzima sio ya nursery school. Nimeyapenda mnoooo… Na mdogo wangu mnamjua kwa kufall in love! Hahahaha!


Also Im sure utakuwa umenotice hiyo DP kwenye insta ya wema hiyo ya Lipstick ni kwamba Wema analeta lipstic za maana zenye jina lake, in each and every color. Na project nzima iko funded na mzee mzima Ivan….

STAY TUNED!

Haya ndo mapenzi mazuri sasa…..Ukimpenda mwanamke unamnyanyua ili na yeye aweze kujitegemea na awe your equal.. Na mwanamke pia akiwa na mwanaume anaemnyanyua hivi atampendaje sasa? Yani mwanaume utafurahi maisha mbona….

Anyways, siku hii news ya Wema and IVAN iki break out officially, just remember where you heard it first… hahahahhahaa! So, Yes, Wema na Dimpoz hakuna kitu chochote kinachoendelea, Walikuwa wanafanya music video, basi!

Ila wana enjoy jinsi wanavyowazingua na mapicha na ku divert attention from the real couple….hahahaha…Alafu naskia King Lawrence kapigwa mkwala wa hatari na Ivan, not to say or publish any pics ya relationship yake na Wema..

Jamani ndo maana siku zile wakati King anamdhalilisha Zari nilikuwa nawaambia kuwa dont blame King, King anafanya vile anavyotumwa na IVan, nothing more, nothing less. Mbona issue ya Wema kaambiwa
aache na kaacha? hahahahahha!



Mmmh, ona Ivan na Wema wanavyozuga watu huko instagram. Wema anacomment kwenye picha za Ivan na Ivan ane anamjibu kama vile hawajuani…hahaha!

Chanzo: U-turn
 
Hahahaa hiii rialiti show inazidi kuwa mcharo......sijui nanii jambazi nanii steringi
 
hahahaaa eti tanzanians sweetheart lol
 
Nimetumia lugha ya picha tu kuelezea manake huyo dadake wema kila wema atakachofanya ni yes. Shake Money
 
Last edited by a moderator:
Nimetumia lugha ya picha tu kuelezea manake huyo dadake wema kila wema atakachofanya ni yes. Shake Money
Ok now nimekupata. Ila si unajua tena chura hawezi kuwa na akili kama za paka. lazima watakuwa vyura wote!

Wema mpaka sasa ana 27+ lakini bado hajielewi...
 
Ok now nimekupata. Ila si unajua tena chura hawezi kuwa na akili kama za paka. lazima watakuwa vyura wote!

Wema mpaka sasa ana 27+ lakini bado
hajielewi...
Mwenzio kila siku ana 25 hahahaaaaaaa!!!!!
 
Mitandao inasaidia kuonyesha pesa na kuonwa na mwanamke kwenda kuzitafuta kwa mwanaume.

Ila Wema duh anataka kuwa mama wa kambo, kaenda kwa mwanaume mwenye watoto watatu. team yake ilisena anaukimwi sasa wanafurahia yeye kwenda kuufata. Pesa duh

Hao watoto wakiugua au kuanguka akiwa nao asije jiona kaenda mahakamani sababu ameenda kumfata mwanaume kwa sababu za chuki au kukomesha....

Ila kweli ni takataka duh, kumwinyeshea Chibu ndio ameenda kwa mume wa girlfriend wake duh ataweza kuwaangalia usoni kila kukiwa na jambo la watoto?

Wanaume wamekosekana duh...mapenzi haya

Mie naangalia movie...
 
Tafsiri ya hilo neno kuDATE please, coz mnapokuja na habari kama hizi mnanifanya hata nikiona kuku (jogoo na mtetea) wanavyokimbizana na kuDO hovyo hovyo niseme nao wanaDATE.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…