Wema kwani Diamond mumeo au boyfriend na una uhakika gani mimba ya zari ni ya Diamond.Ivan Ana watoto na Zari .Respect yourself and maintain your dignity .
Unajidhalilisha kwa ajili ya Diamond ? Mwanaume ambae maisha Yake yote atakuwa mwanamuziki atazaa na atalala na wangapi.Zari ni mwanamuziki wote wanamuziki wanatumiana.
Huyo Ivan amefika kwa Zari haswa.Ukitaka kumjua Zari vizuri mtafute Sintah.Zari is smart huyo Diamond anatumika tu .hiyo mimba sidhani Kama ya diamond .Tulia wewe