Wema na Ivan it's ON, Wana-date

Wema na Ivan it's ON, Wana-date

Wema kwani Diamond mumeo au boyfriend na una uhakika gani mimba ya zari ni ya Diamond.Ivan Ana watoto na Zari .Respect yourself and maintain your dignity .

Unajidhalilisha kwa ajili ya Diamond ? Mwanaume ambae maisha Yake yote atakuwa mwanamuziki atazaa na atalala na wangapi.Zari ni mwanamuziki wote wanamuziki wanatumiana.

Huyo Ivan amefika kwa Zari haswa.Ukitaka kumjua Zari vizuri mtafute Sintah.Zari is smart huyo Diamond anatumika tu .hiyo mimba sidhani Kama ya diamond .Tulia wewe
 
Jamaniiii hebu let dis girl aishi maisha yake coz watanzania tunaongoza kwa kumtukana na kupenda kumpangia mtu maisha..
Najua kuna watu wanafanya mambo ya ajabu nje ya keyboard ila kwa kusema wenzaooo vibaya..khaaaaaa
 
Hajashikwa na mtu hapa....'Yes, I love spotlight!'...Wema.
 
Jamaniiii hebu let dis girl aishi maisha yake coz watanzania tunaongoza kwa kumtukana na kupenda kumpangia mtu maisha..
Najua kuna watu wanafanya mambo ya ajabu nje ya keyboard ila kwa kusema wenzaooo vibaya..khaaaaaa

Yes, na mie ni mmoja wapo, nina mengi ya ajabu na kama mkiniahidi kuwa nikianza kuyaweka hadharani mtanifollow nianze sasa hivi.....na sitojali kama ni positive au negative comments.
 
Jamaniiii hebu let dis girl aishi maisha yake coz watanzania tunaongoza kwa kumtukana na kupenda kumpangia mtu maisha..
Najua kuna watu wanafanya mambo ya ajabu nje ya keyboard ila kwa kusema wenzaooo vibaya..khaaaaaa

Kama mtu amekaa uchi ingekuwa busara kama ungetafuta Kanga na kwenda kumfunika badala ya kuhimiza jamii waache kumkodolea macho.

Pia walisema Wahenga "Kamuue kwanza Mbweha kichakani ndio uwakanye kuku kuzurura"
 
Kuna mengi ya kusikia na kuona kwa hizi couples
Full kurushana roho
 
Jamaniiii hebu let dis girl aishi maisha yake coz watanzania tunaongoza kwa kumtukana na kupenda kumpangia mtu maisha..
Najua kuna watu wanafanya mambo ya ajabu nje ya keyboard ila kwa kusema wenzaooo vibaya..khaaaaaa

Mkuu yeye mwenyewe ana furahia maana ana tengeneza pesa kupitia kusema na ana kipindi kwenye tv ili watu waangalie lazima wamuongelee! Kwa hiyo kuwambia watu waache kunuongelea ni kutaka kumkosesha pesa
 
Wewe hadi kufikia hapo hujapata jibu ni nani aloleta hizi habari hapa jamvini?....malaika au?Wema mwenyewe ndio anapenda kuwa discussed all the time!
 
Hii kitu imetoka kwenye blog ya mange i know she love tension ila kwa hta matusii duuuuuu...let de project continue ila ningekuwa mim ningejiweka off na social network kwa muda
 
Malaya wa kitanzania.. Naisi tobo lake, ni free to go, labda kama anatupiaga ndimu

Tangu enzi za
Mr Blue
Tukitaja hapa 40 plus wanafika, achilia wale tusiowajua na walio m-kill akiwa age 9-15
 
Mkuu yeye mwenyewe ana furahia maana ana tengeneza pesa kupitia kusema na ana kipindi kwenye tv ili watu waangalie lazima wamuongelee! Kwa hiyo kuwambia watu waache kunuongelea ni kutaka kumkosesha pesa

Eeeehhh kiongoz ckujua she is makin money out of it..
Hya let her break the internet
 
Eti nimemwacha diamond,mara who is Naseed..bitch now you know Naseeb is a real deal.unaenda jitongozesha kwa mauza unga yalioshindikana mfyuu.na mbaya zaidi Ivan amekufa ameoza kwa zari,atamtia wee mwisho atakaa pembeni.you can never love for revenge.pole wema aka kipoozeo cha wastaafu laana ya cleme na mkewe bado inakutafuna
 
Jamaniiii hebu let dis girl aishi maisha yake coz watanzania tunaongoza kwa kumtukana na kupenda kumpangia mtu maisha..
Najua kuna watu wanafanya mambo ya ajabu nje ya keyboard ila kwa kusema wenzaooo vibaya..khaaaaaa

Dunia hii ukitaka kuishi maisha yako bila kufatiliwa basi usiwe Celeb, wala usifanye jambo la kushangaza mbele ya watu!!wote walio nyuma ya keyboard hawajulikani mbele ya Keyboard. Avumilie tu ndio Ustaa uo
 
Back
Top Bottom