Wema na Joketi waonyesha upendo kwa Diamond

Wema na Joketi waonyesha upendo kwa Diamond

sinza pazuri

JF-Expert Member
Joined
Aug 16, 2014
Posts
3,344
Reaction score
9,066
Inst-image-50.jpeg


Inst-image-60.jpeg


MaEx naona wanaanza kusogea karibu kwa a boy from tandale.

Bado kusikia neno la Zari.
 
Maskini wee hadi huruma so mlitegemea kubebwa kwa kiki na zari ee. Poulee
Zari ni mbinafsi sana, hawezi kutoa neno la hongera zaidi ya kumfukuta moyoni...
kama anadiriki kuringishia vya kurithi sijui kama hamuombei mabaya kijana wa kwa ALLY MAUA...


 
Penzi Ntalipamba kama Ngojera,
Huba kama Tanga Segera,
Kwa Viuno vya Baikokooo,
Kutoka Manza Bay,

Picha Twazitwanga Kisera,
Post Insta wanga kuwakera,
Baada ya Chali ni Mokoooo
Cause I just
Let them Know..
Titiliii tilililiii titiliiii......ile biti safi sana
 
Diamond na zari wanawachezea akili watanzania subiri mtaona
 
Maskini wee hadi huruma so mlitegemea kubebwa kwa kiki na zari ee. Poulee



Mmmh ninawasi wasi na uwezo wako wa kuelewa mambo, jamaa hata hajaongelea mambo ya zari kumbeba diamond ila ww ndo umeyaleta hapa. Tatizo mmekaa kutafuta ubishani ili sijui tujue nayinyi mpo. Ila mtaisoma namba, nyie ishieni kuposta bata mzibga wenzenu wanazindua album[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13]
 
Back
Top Bottom