sinza pazuri
JF-Expert Member
- Aug 16, 2014
- 3,344
- 9,066
MaEx naona wanaanza kusogea karibu kwa a boy from tandale.
Bado kusikia neno la Zari.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Zari ni mbinafsi sana, hawezi kutoa neno la hongera zaidi ya kumfukuta moyoni...View attachment 717020
View attachment 717021
MaEx naona wanaanza kusogea karibu kwa a boy from tandale.
Bado kusikia neno la Zari.
Zari ni mbinafsi sana, hawezi kutoa neno la hongera zaidi ya kumfukuta moyoni...
kama anadiriki kuringishia vya kurithi sijui kama hamuombei mabaya kijana wa kwa ALLY MAUA...
Numbisa eeeeehMaskini wee hadi huruma so mlitegemea kubebwa kwa kiki na zari ee. Poulee
Titiliii tilililiii titiliiii......ile biti safi sanaPenzi Ntalipamba kama Ngojera,
Huba kama Tanga Segera,
Kwa Viuno vya Baikokooo,
Kutoka Manza Bay,
Picha Twazitwanga Kisera,
Post Insta wanga kuwakera,
Baada ya Chali ni Mokoooo
Cause I just
Let them Know..
Mmmh ninawasi wasi na uwezo wako wa kuelewa mambo, jamaa hata hajaongelea mambo ya zari kumbeba diamond ila ww ndo umeyaleta hapa. Tatizo mmekaa kutafuta ubishani ili sijui tujue nayinyi mpo. Ila mtaisoma namba, nyie ishieni kuposta bata mzibga wenzenu wanazindua album[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13]Maskini wee hadi huruma so mlitegemea kubebwa kwa kiki na zari ee. Poulee