Wema na kajala LIVE!!

Wema na kajala LIVE!!

Last edited by a moderator:
Binamu wanaonyesha ni jinsi ganii wanavoiweza ile style ya popo kanyea mbingu au siooo

Aaaah binamu nae una maneno eti popo kanyea mbingu, ivi popo bawa wapo jaman? Sijawasikia mda au ndo wameshatekwa na boko haramu
 
Hiyo style binam balaa kwa sisi wengine haitufaiii inawafaaa waliokubuhuuu ,popo bawa ana msimu wakeeee
 
Mmh nyie cheusi dawa aunty anayaweza kwa kweli, mi hiyo style ndo inanishangaza ivi alikuwa mzima kweli
 
Hiv walipigwa risasi kwa sababu ganii??na walipigwa woteee lo waliwezwaaaa au walikula vya watu ninii ???

Si walikatazwa mambo yao hayo ya kukaa uchi, sasa wakat wanayarudi jukwaan wakalamba risasi za ------, nadhan walipigwa risasi watu wawil au watatu, mwingine alipigwa mguuni
 
Hahahaa haaaa uwiii Yaani nimecheka
 
Si walikatazwa mambo yao hayo ya kukaa uchi, sasa wakat wanayarudi jukwaan wakalamba risasi za ------, nadhan walipigwa risasi watu wawil au watatu, mwingine alipigwa mguuni

Waliowapiga wamekamatwaa auu???jamani watu hawataki kuuza nyanyaa
 
Ni mapolisi waliowapiga, naona kesi itakuwa imezimwa, maskin kanga moko , walikuwa wanajimanua wenyew wapate hela ya kula watu wanawapiga risasi tena kwenye vitegea uchumi vyao
 
Back
Top Bottom