Kwani hupendi?
Mabilionea wa Bongo muvi...
Daah mkuu kiroho safi tu nilikuwa naipenda sana avatar yako ya zamani ya kale katoto
Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
Mh Dinazarde, qn of sheba, Heaven on Earth na geniveros ebu njooni mumuone cheusi dawa aunty ezekiel anavyojimanua halafu hana hata aibu sijui ana mapepo, si mke wa mtu huyu?, mmh huyo serengeti wake kazi anayo, sasa sijui walikuwa wanamnanulia nani apa
Loh!naona ndoa zimeingiliwa sasa eeh!
Hv hapo walikuwa wana maanisha nini au bange ziliwapanda kwahyo k bado yuko na clemence au.ndo maigzo
Aaaah binamu nae una maneno eti popo kanyea mbingu, ivi popo bawa wapo jaman? Sijawasikia mda au ndo wameshatekwa na boko haramu
Tena apo aunty ezekiel hiyo style ukimpiga risasi hakyanan aombi maji
Hiv walipigwa risasi kwa sababu ganii??na walipigwa woteee lo waliwezwaaaa au walikula vya watu ninii ???
Si walikatazwa mambo yao hayo ya kukaa uchi, sasa wakat wanayarudi jukwaan wakalamba risasi za ------, nadhan walipigwa risasi watu wawil au watatu, mwingine alipigwa mguuni
Tena apo aunty ezekiel hiyo style ukimpiga risasi hakyanan aombi maji
mh dinazarde, qn of sheba, heaven on earth na geniveros ebu njooni mumuone cheusi dawa aunty ezekiel anavyojimanua halafu hana hata aibu sijui ana mapepo, si mke wa mtu huyu?, mmh huyo serengeti wake kazi anayo, sasa sijui walikuwa wanamnanulia nani apa
kama unapanya mwalike sumu hiyo
Si walikatazwa mambo yao hayo ya kukaa uchi, sasa wakat wanayarudi jukwaan wakalamba risasi za ------, nadhan walipigwa risasi watu wawil au watatu, mwingine alipigwa mguuni
Waliowapiga wamekamatwaa auu???jamani watu hawataki kuuza nyanyaa
Wamepatana sasa sijui team ush*zi mtafunga account IG