Yaan nimecheka mtu anaanzisha uzi huku hajui anachokiongea[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] jaman ukiamua kuwa mbea ujue na kufanya utafiti....Wema hayupo tz ila mtoa uzi anasema katoswa[emoji16]Chaaaa...wema hayupo bongo, na angekuwepo angefosi tu kwenda kwa aunt, yule demu kajipindia!
Wema si yupo china???Aunty ezekiel kweli ka move on past wema.. Pamoja na wema kujikomba kote kumuwish happy birthday aunt na kumpost mapicha kibao insta, aunty ezekiel kamkaushia mikausho mikali na hata hajamualika kwa birthday yake leo. Kweli wema kaisoma namba na leo ni namba 168.
Nahisi zarithebosslady katumia cheo
Naona wote wamevaa minywele ya maiti na mikorogo imewakolea hatari....Yaani wanatisha wako kama majini.
Ha hahaaaaaaaaaaWakati mwingine kuna vitu vya Muhimu ila kuna vtu vya muhimu zaidi. Mbona na wewe mtoa Uzi mbona sikuoni hapo ktk picha au ndio uliondoka mapema?
Biashara gani?Mbona hata zarina hayupo?
Lakini wema si yupo china katika biashara zake[emoji6] [emoji6]
ndicho ulichokionaNaona wote wamevaa minywele ya maiti na mikorogo imewakolea hatari....Yaani wanatisha wako kama majini.
Wema yuko Chinaila sepenga angekuwa kwenye hiyo picha ya pamoja angewafunika ni bora hawakumwalika