Wema na kujikomba kote kwa aunty ezekiel atoswa kwenye birthday

Wema na kujikomba kote kwa aunty ezekiel atoswa kwenye birthday

Chaaaa...wema hayupo bongo, na angekuwepo angefosi tu kwenda kwa aunt, yule demu kajipindia!
Yaan nimecheka mtu anaanzisha uzi huku hajui anachokiongea[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] jaman ukiamua kuwa mbea ujue na kufanya utafiti....Wema hayupo tz ila mtoa uzi anasema katoswa[emoji16]
 
Aunty ezekiel kweli ka move on past wema.. Pamoja na wema kujikomba kote kumuwish happy birthday aunt na kumpost mapicha kibao insta, aunty ezekiel kamkaushia mikausho mikali na hata hajamualika kwa birthday yake leo. Kweli wema kaisoma namba na leo ni namba 168.
Nahisi zarithebosslady katumia cheo
Wema si yupo china???

Angehudhuriaje???
 
Mradi umemuandika Wema ili watu wadome kijiuzi chako...
 
Naona mtoa uzi alitaka kadi ya Wema ya mwaliko ipostiwe insta aionee kabisaa!WEMA yuko zake kuzisaka nyie mnawewesekea birthday!
 
Wewe ndio yupi kwenye hizo picha au na wewe ukualikwa?!
 
Duh! Watu mnapenda uchonganishi si kidogo! Yaani una-conclude uhasama kwa kuangalia instagram photos??!!
 
Bora hawakumwalika,Wema anavyojua kuiba stori badala ya habari ya birthday ya Aunty humu ingekuja stori ya Wema alivyopendeza kwenye birthday ya Aunty.
 
<< Itakuwa sasa Aunt Analishwa na ZARI eeeh hivyo anaogopa kugonganisha magari>>
 
Back
Top Bottom