WEMA na PREZZ dating?

promiseme;6090997]Watajiju........[/QUOTE]

dating ni nini ?.....kuandika tarehe ama.....
 
Sources...!!! au ndo hizo pics
 
hongera zao na kama ni kweli bac wema atulie kwa prezzo
 
Sioni ubaya wowote hapo.
 
Prezzo si bado yuko kwenye eda. Kama ni kweli kwa wema hachomoki kabisa.

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
wanaume wa kikenya wanavyodataga na wanawake wa kibongo, itakuwa ngumu kwa prezzo kuzivuka hizo nyavu! i adore wema nam-suport if its true!
 
Sipati picha hiyo "punana" ya wema ilivyo, maana imeshapitia vigongo vya kutosha!
 
promiseme;6090997]Watajiju........

dating ni nini ?.....kuandika tarehe ama.....[/QUOTE]

efers to the act of meeting and engaging in some mutually agreed upon social activity in public, together, as a couple.
afu kuandika tarehe ndo kunafatia.........
 
Sasa hapo kwenye hizo picha Wema ni nani,na Prezzo ni nani?Naona wote wamejirembua vyakutosha,nashindwa kutofautisha jinsia,au ni lesbians?
 
Kapewa bureeeeeeeeeeeeeeeeeee! Mwacheni agaweeeeeeeeeee mpaka basiiiiiiiiiiii,ila akumbuke age is counting forward.
 
uzuri wema ni mwema kama jina lake hana roho mbaya ili mradi uwe na cash tu
 
mi namkubali sana wema.ila namsihi kama pay anayo atulie atafute mume ambaye c msanii waishi.umri unazidi kwenda
 


Wema anawakilisha wadada wa kisukuma.
 
Hivi nyumba ndogo nayo inakaliwa eda eh?

Offtopic: pamoja na kuwasikitikia wadada ambao hawajajaaliwa nywele kama mujarabu kama za snowhite, hayo ma lace wig naona yanawafanya sura zinakuwa za ajabu sana.
Prezzo si bado yuko kwenye eda. Kama ni kweli kwa wema hachomoki kabisa.

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…